Ijumaa ndiyo siku ambayo wasanii wengi na wakubwa duniani huachia kazi zao. Hivyo kwa msanii underground, kuachia wimbo siku hiyo unaweza kujikuta unapambana kupata attention dhidi ya releases kubwa zenye budget kubwa za promotion.
Pia siku ambayo kuna releases nyingi, competition ya kupata nafasi kwenye playlists inaweza kuwa changamoto zaidi, kwa sababu curators wanakuwa na nyimbo nyingi mpya za kupitia na kuchagua na ni ngumu kupata nafasi kwenye pambano na wasanii wakubwa.
Mimi binafsi kwa wasanii wadogo huwa nashauri siku ya Jumatano. Competition inakuwa ndogo, unapata nafasi nzuri ya kufanya promotion, kujenga momentum nzuri na kuupa wimbo muda wa kupata traction kabla ya weekend.
2026-09-07 21:39:58
7
Fugo Mc :
Dah kama kwel hiv
2026-09-04 08:30:36
2
Roy Willy :
ngangangangaaaaahh nikisha sikia sauti yako tuu najua kuna code mpya nakubari sana kaka🫡🫡🫡🫡🫡
2026-09-04 17:24:34
4
hfhnhdddgnmmmcxx :
pia movies
2026-09-04 15:26:11
1
JOSTAN BOY TZ🎙️🎧 :
perfect brother
2026-09-04 11:35:49
3
dogo Pride :
alafu kweli ujue
2026-09-04 08:30:17
1
𝐒𝐇𝐀𝐌𝐒𝐈 𝐎𝐍𝐄 01 :
Kweli
2026-09-04 08:01:28
5
bulldog jr😡 :
Ijuma tatu ndonn kaka sema juma3🤣 sema nakubal umeongea fact san
2026-09-04 11:05:33
1
Natija classic Lukamasia :
ndo maana nyimbo zangu haziendagi? ohhhh kumbe , Asante sana kaka kwa kunichanua walai