@kanikibrown: "SHERIA ZINAZOWABANA WANANCHI, PIGENI KELELE ZILETWE TUTAPIGA CHINI" Mhe MBUNGE wa Kigoma Mjini Revocatus Chipando maarufu kama Baba levo 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia
Baba Level huwezi kututetea ukweli upo kwenu pekee sio sisi
2026-09-04 15:31:39
0
user4816138840515 :
hela ya pakingi inaumiza wangefanya walau buk moja kwa siku ise
2026-09-04 15:18:23
0
israellemanga :
sawa mbunge machachari babalevo
2026-09-04 14:16:12
0
yohana joseph :
sheria ya sisi madeleva wadogo kama bajaji na bodaboda swala la kupigwa faini na kulazimisha tulipe hapo hapo inatuumiza sana sis wakat mwingine unakuwa huna hela inakubid kuacha chombo chako cha usafili mpaka utakapo pata hiyooo hela inatupa ugumu sana wakat mwingine inatufanya tunakosa hela na kunyanganywa vyombo na matajili
2026-09-04 14:07:37
0
user5557735305480 :
MB zetu watu wa mitandao wanatuiba pereka bungen hilo