@ommy_makachu: Akiba muhimu 🤣🤣 #foryou #fypシ゚viral #viralvideo #fyp #foryoupage

Ommy makachu
Ommy makachu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 07:59:47 GMT
114361
6363
316
1026

Music

Download

Comments

mrsjimtu
MRS JIMTU :
@Lady wagwan!!👊No tears no fea mwenzio abeba cha usiku
2026-09-04 14:25:47
3
ssegawamubaraka
Ssegawa Mubaraka :
You don't want to lose anything 😄😄😄😄😄😄😄
2026-09-04 13:41:31
1
wei_2_22
wei_2_22 :
Anachekesha kama si ndugu yako 😂😂
2026-09-04 08:26:46
51
snowing.jo
Snow :
mim namuelewa sana mwana pengine anapelekea watoto wake!
2026-09-04 10:00:07
22
golder2841
golder :
asante tulishiba baba[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-04 16:25:57
3
guyo993
Mr Bluetooth :
maybe ako na watoto nyumbani. don't record him or laugh him
2026-09-04 11:06:14
2
kwach.david
Kwach David🇰🇪 :
muelewe akona family
2026-09-04 18:02:29
1
saidy5973
Saidy :
family waiting ready food🥰
2026-09-04 17:51:20
1
user3590693903813
user3590693903813 :
mwenzanguweee na usiku upo acha nibebe nsije lala njaaa na chakula kipo
2026-09-04 11:01:34
12
ally61694
ally :
aibu utaona weweee😂😂😂😂😂
2026-09-04 13:13:56
7
ritahbeib1
Ritar beib :
sasa huyo ndo husband matrial
2026-09-04 13:05:46
1
trumpjuma
Mandela :
Unaweza sema ni utani kumbe ndo maisha halisi😂😂
2026-09-04 15:33:03
5
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
Nimempenda hajajificha anachukua hadharani! Mashallah 🥰🥰 si kama wengine ni jasiri wala haangalii nani atamcheka huenda watoto hawajala "" M/ Mungu atujaalie ridhiki ya halali Inshallah
2026-09-04 17:13:53
18
abouhusnain
abou :
wale hushinda wakiuliza bag ni ya nn hope wampata jibu
2026-09-04 13:53:56
6
said28277
said jumanne awenge :
umemtesa mwenzio
2026-09-04 14:14:32
1
depayjr47
MR&MRS DIPAY JR :
omy mtu atali 🔥🔥
2026-09-04 13:05:11
1
queenbettywilliam
Queenbetty William :
hii dunia ukichekea watu usoni utakufa njaa
2026-09-04 12:59:23
5
mohammed.abeid5
Mohammed Abeid :
sasa biriani watia mkono Ivo ukifika nyumbani imeoza
2026-09-04 18:38:09
2
mamasamia650
Mama samia #254💓💓 :
bag niya nn
2026-09-04 11:12:06
2
jumamgeni680
Don't love me :
Bas kuna nin ten 🤣🤣
2026-09-04 12:57:17
1
feisalfailasufi1
boy :
hahahaah
2026-09-04 08:03:37
1
asma.jabiri
Asma Jabiri :
uku uswahilini kwetu kawaida 😂😂
2026-09-04 15:19:49
1
taibahsharif425
Tasha Sharif :
nimekuelewa anapelekea watoto nyumban
2026-09-04 14:49:49
2
To see more videos from user @ommy_makachu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About