Yesu aliwambia furaha nitoayo mimi hakuna mwanadamu anaweza kutoa furaha hiyo huyu Baba anapewa fraha na aliye mwokoa na lisasi anaitwa YESU WANAZALETI
2026-09-04 09:49:10
3
Justine Mramu :
Namna pekee yakumshinda TAL ni kimfanya kuwa ni mali ya Rais ni akili kubwa
2026-09-04 09:42:50
1
Maumau march Mwana wa adamu :
yupo sahihi lisu
2026-09-04 10:53:13
0
Neskey :
umeonaee hata mimi na shangaa anafuraha tu 🥰
2026-09-04 09:39:31
0
mtaturu :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watatukoma ss ni wannyaturu bhana
2026-09-04 10:27:23
0
Sia Massawe :
Akili nyingi sana
2026-09-04 11:14:21
0
dalali_kigamboni_bigwa :
mwamba huyo 💪💪💯🙏
2026-09-04 08:29:04
1
Masansa :
daaaah nimecheka sana mkuu
2026-09-04 09:49:02
0
user5614921173360 :
wanasheria wote wa serikali kwa Tundu Lisu awagusi kilichobaki kwao ni porojo2 awajui sheria na Lisu angekua anamakosa angeshafungwa kitambo sana
2026-09-04 10:44:39
0
Reghan :
soma kitabu cha dark cycolgy cha niccolo machiavelli
2026-09-04 09:14:34
0
mbura :
Nabado hamjasemaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 08:56:57
0
Ms Sillely🌹✨ :
acha basi kutoa Siri 😭😭
2026-09-04 08:50:20
0
Ethan_carter :
Na akondi dadeq
2026-09-04 08:35:07
0
peoples favourite :
ujue akili ni kipaji na ukiona mtu kakuzidi akili unatakiwa kukubali na kushauli mambo mengi yapungue na bila kuaibishana kiakili
2026-09-04 08:56:53
0
PETER ISAKA :
lisu anapewa fraha na Yesu tu
2026-09-04 09:46:29
1
shukuru :
anawazidi akili sana
2026-09-04 08:42:10
0
TEMBO_MODERN_FURNTURE🇹🇿 :
Hapana Hana chipu yoyote, Mwenyezimungu SUBHANAWATA HARRAR amemtoa ofu pia anampa nguvu ya kujiamini na kutokuwa na mawazo
2026-09-04 11:16:32
0
Naa jk :
😂😂😂😂 mteule wa mungu
2026-09-04 08:53:24
1
rechox :
ukiwa huna hatia huwez kuwa na mashaka
2026-09-04 08:14:38
1
Lufungulojk :
Prof. umeenda kula sato fresh 👌👌👌
2026-09-04 08:08:56
1
saramura :
ni ngumu kweli
2026-09-04 09:56:30
0
Halima Funege :
unachekeshaa sana kaka ndog maana kwa Sasa wasomi mmekuwa hamna nafasi ya maendereo katka nchii nyingi 😂😂
2026-09-04 08:35:54
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.