@hassanjah7:

Hassan Jah
Hassan Jah
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 08:04:35 GMT
16901
519
82
143

Music

Download

Comments

idrisacheppa3
Idrisa cheppa :
shegh kishk yup sahehe
2026-09-04 14:52:24
2
enjoytlscwithus
Modey_mo :
mzeee upo nyuma sana kasome tena hio. sio riba hio ni biashara riba nikuchukua kit half ukarudisha kitu kilekile lkn kikiw na shart la kuongezeka but sasa apo ivo ni vitu v2 toufaut in short ikiwa pesa kwa bidhaa bas sioriba lkn ikiwa pesa kw pesa+ au bidhaa kw bidhaa+ nd riba
2026-09-04 11:04:22
4
rasuli.khamisi
Rasuli Khamisi :
Unatakiwa ujue kunatofauty za madhehebu ukilijuw hilo hutapata tabu utamsikiliza yule wa madhehebu yako t Ila kiuhalisia hapo hakuna riba labda kama amekataza, kwa onuwani nyingine khaaswat
2026-09-04 18:21:49
1
rashidkachoe8
user4503549779551 :
shida zenu mnakata video
2026-09-04 16:58:11
1
madilikazi
madili kazi :
ruhusa haitoki kwa mtume ruhusa inatoka kwa ALLAH
2026-09-04 17:01:26
1
amooryamoory287
amoory amoory :
Video ya Sheikh Kishki Umeikata Kabla Hajaanza Kueleza Ufafanuzi na Uchambuzi Wa Biashara Aliesema,, Sikilizeni Video Mawaidha Kamili ya Sheikh Kishki Ndio Mtajuwa Makusudio Yake
2026-09-04 11:37:49
3
ramiaomary561
ramiaomary561 :
Mzee unajua maana ya riba lkn? riba ni ongezeko la vitu vinavyofanana mf mchele kwa mchele pesa kwa pesa lkn bidhaa kwa pesa hakuna riba!
2026-09-04 09:25:54
2
r.harnilu_06
🦋🦋..lalu...🦋🦋 :
RIBA YA BIASHARA NI ILE ILIO ZIDI NA ILE BEI KITU AU KUWA BEI SAWA YA UNUNUZI WA KILE KITU
2026-09-04 11:25:37
1
user19905666561257
Twarati :
Hakuna Riba Hapo Tuelew dini vizur
2026-09-04 19:36:51
0
haroub.suleiman
Haroub Suleiman :
hapo shekhe ukiwa mkatoliki ukasubiri pasta akusomee yatakukuta uislamu umehimizwa kusoma na aya ya mwanzo iqra maana soma na mtume akasema sijasoma baada ya kusema sijasoma mtume akasomeshwa na jibril kupitia wahyi kwa hio mtume kasoma siku ya mwanzo kushushiwa wahyi mpaka akakamilisha qur ani yote na risala
2026-09-04 14:28:11
0
baba.kijacho
BABA KIJACHO :
hiyo riba ni haram
2026-09-04 19:30:58
0
babujitz
Hussein sajan :
apo ni km riba tumebadiri jina tu
2026-09-04 19:52:28
0
rashidkiemb01
عبد الرشيد :
hiyo ya shekh kishk umeikata
2026-09-04 18:13:45
0
abdulqadir63605
Rafiiy :
lazima ujue riba ni nini na inaingia kwa vitu vipi,sio kila ziada ni riba bana
2026-09-04 18:22:32
0
adamgamnini5gmail
Mr Ad :
Hawa jamaa wamepoteana😅😅😅
2026-09-04 10:38:49
2
zagen78
Hasara :
75 kwa laki na 5 kwa kumi linganisha tofauti yake
2026-09-04 18:30:57
0
saysomething86
Amour Mtungo :
Uislamu mbali ya aya zilizopo haupendi dhulma au upendeleo wa upande mmoja. Pakitokea mtu na mtu kukubaliana jambo kwa manufaa ya wote watu wawili, basi hapana shaka hao watu wameridhiana. Katika kuridhiana huko kibiashara mimi sioni ubaya mbona
2026-09-04 08:21:41
0
abdallah25171
Abdallah :
Riba
2026-09-04 15:25:19
0
ostadh_shabani
ostadh_shabani :
hamna riba hapo riba Nikitu kwa kitu mfano wake sio kiatu kwa pesa hiyo sio riba
2026-09-04 16:32:41
1
alrahman_madrasah
alrahman_madrasah :
hadithi aloitoa sheikh haihusiani na maudhu'i, hadithi hapo inakataza biashara juu ya biashara nyingine, mfano wewe umenunua kiwanja, kisha mimi nakuja kumshawishi yule aliekuuzia akurudishie pesa yako au asikuuzie wewe, na badala yake aniuzie mimi kwa dau kubwa zaidi.
2026-09-04 20:55:00
0
omari.bakari79
Omari Bakari79 :
unafiki ni mwingi
2026-09-04 20:57:35
0
kadigaali447
Kadiga Ali :
Vitabu vipo vingi wanavosoma,nawanasoma sehemu tofautitofauti,Uisilamu upumue jamani
2026-09-04 17:27:08
0
mwinyiabdalla211987
Mwinyi fundi :
riba yoyote ile ni haramu
2026-09-04 18:10:46
0
claudio.cruz66
Claudio Cruz :
SASA IYO SIO RIBBA ???
2026-09-04 08:32:54
0
To see more videos from user @hassanjah7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About