@officialvillatz: 💚 UPONYAJI NA FARAJA HUB 🫂 Mahali pa kupata faraja, connection na nafasi salama ya kueleza hisia zako bila kuhukumiwa. 🌿 Hapa tunakutana ili: ❤️ Kuzungumza kuhusu maisha, mahusiano na changamoto tunazopitia 🧠 Kujenga uelewa wa mental & emotional wellbeing 🫂 Kusikilizana, kushirikishana experiences na kupeana support 🌱 Kujijenga upya na kujifunza namna ya kusonga mbele ✨ Kujikumbusha kuwa hauko peke yako katika safari yako. Una jambo moyoni? Usibebe peke yako. Karibu, unaweza kuzungumza nasi. 🤍 🌿 Heal. Connect. Grow. — Uponyaji na Faraja.

Official villa
Official villa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 08:04:54 GMT
24018
2487
88
85

Music

Download

Comments

ccleo12
Cc leo :
Emotional Karma ndo Karma yenyewe 💯
2026-09-04 13:11:43
2
kim.reeny5
kim reeny :
acha niache tuuu coz nilipanga kufanya aliee ila am forgiving them but inaniumaa😭😭😭
2026-09-04 13:23:43
2
user8228199656209
salma s :
kimya ni jibu jaman tena allah anajibu kwa wakati na utajionea matokeo we muombe mungu
2026-09-04 13:15:30
19
ms_migo27
ms_migo27💜 :
Ukimyaa ni Jibu toshaa nina ushuhudaa🥰
2026-09-04 19:01:51
2
user6812912161755
mom princess :
tenaa huwa haichelewiii kabisaaa🤣
2026-09-04 13:36:35
5
aunt.samwel
Aunt Samwel🤎 :
That’s me huwa nambia Mungu deal with it
2026-09-04 14:24:20
1
annyeddoh
Anny😇 :
Mungu wangu naomba uiondoe hii roho ya kisasi ndani yangu🥺
2026-09-04 08:13:26
25
pavel_one5
jaxonpavely :
I like your eyes🤦
2026-09-04 09:20:29
0
bet.cut
🎀It’s beta🎀 :
Natamani nipate mtu wakumuelezea situation nayopitia but nabaki nalia tu na moyo wangu 😭😭 mungu naomba unipe uvumilivu kwa kweli nimechoka kilasiku mm tu
2026-09-04 13:13:44
10
villaluxestore
villaluxestore :
Imeisha iyo
2026-09-04 10:55:17
1
user8011443950151
user8011443950151 :
unaeza kua sahihi kwa kile unachokiongea ila elewa binadamu tuko tafauti na sisi ni binadamu kuna wale wakumuachia mungu na wale wakudeal nalo
2026-09-04 19:39:30
1
ms.yna21
ms.yna21 :
Kukaa kmy..!
2026-09-04 10:20:43
1
jenjuma668
Jen Juma :
Kabisa ukimya ukimwa jamn una nguvu kubwa mno
2026-09-04 17:06:13
3
britneymariam_001
Britneymariam_001 :
mtume wangu yupo nje ya nchi miaka mitatu Sasa imefika pahali ananinyamazia hata miezi miwili ama mitatu,hanipi matunzo Kama make na akirudi anajifanya Kila kitu Kiko sawa,Mimi nimechoka,sai ananiitisha picha ya mwanawe natamani kutomtumia ila naogopa hatonitumia peza za matumizi mwisho wa mwezi sijui ntafanyaje
2026-09-04 19:32:09
1
eduu.006
Eduu 006#👑 :
🥰🥰🥰 very very true
2026-09-04 08:14:01
1
brilorah04
brilorah04 :
Yaani mm kwa kwl kuna vitu napitia na sina mtu wa kumwambia hta ile wa kunicomfort yaani i don’t hv
2026-09-04 14:47:43
1
mophine3
mophine🦋 :
kama ni mume?
2026-09-04 09:08:50
1
miss.popia.com0
POPIA 🌸 :
ww dada 💔😩🙌🏼
2026-09-04 15:28:55
1
magreth.yohana68
magrethyohana31 :
uko sahihi mpendwa
2026-09-04 13:01:12
1
aney193
aney🌸 :
Asante dada 🥰
2026-09-04 08:14:24
3
user3094347505407
# :
😭😭😭😭 wallah karma inatesa sirudii tena kumuumiz mtu
2026-09-04 13:50:42
3
willy_25_tz
user29890838960 :
Uhakika sister
2026-09-04 16:10:19
1
aysher6324
Aysher :
ndo nilikua nataka nikamloge mtu asante dadangu.mtu anajua kabisa ana mpenzi wake na hana malengo na ww lakini ana mapendoni anakuacha anaenda kuoa inauma😌😌
2026-09-04 17:29:20
1
To see more videos from user @officialvillatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About