Naomba tuwe marafiki😂😂 ni nani aliwafundisha ujinga huu ndio maana mnatapeliwa🙌
2026-09-04 08:11:19
14
Only God🙏😘 :
kwahyo Kuna mwanamke anayempenda mwanaume kwa kumwona siku ya kwanza?
2026-09-04 09:16:51
5
Willy :
period hyo n red flag
2026-09-07 03:10:42
2
Baraka mulima :
Problème nimepata iyi vidéo nanishakua mujinga. dawa ni nini dadangu🤣🤣
2026-09-05 09:52:16
5
johnkamazi :
hapo nisawa kabisa
2026-09-12 09:38:20
1
Achiban :
napitia hayo sahii😂
2026-09-05 15:22:59
0
KING JB :
duh jana tu nimelipa kodi miezi sita
2026-09-05 19:27:10
0
Aden Vales 🌊 :
Duuuh kufikia hapo nina ushuhuda practically 😂😂🙌🙌🙌🙌
2026-09-05 06:39:16
1
Sikhumbuzo :
Sasa dada kuna mwana mke asie kuwa na mtu🤣🤣
2026-09-04 09:42:14
4
user9832051799466 :
nashukuru kuniamsha
2026-09-04 13:48:10
1
Gitahi wa matheri :
Ukweli mtupu kabisa.
2026-09-05 15:41:19
1
its brainshy ❤️🔥💞 :
hii itanifikisha 2027💪
2026-09-06 01:17:29
1
NCHOJI Electronic :
Ulikua wapi kupost hii picha juzi. Maana janatu nimemununulia godoro.
2026-09-05 13:02:41
2
black race manifesto🙄 :
unayo yaongea kama yana ukwel vile💯
2026-09-04 09:15:05
2
rasta✌️✌️ :
ok sawa tunasikiya
2026-09-04 15:46:11
1
potentially :
mbona Huwa wanatupa tunawapeleekea Moto vizuri tuuu
2026-09-04 21:40:26
1
Dani_@ :
wanangu wa gusa achia twende kwao tunapita hukuu
2026-09-04 17:07:19
1
Leebronkasian Hl,' theo' :
uko vizuri sana wengi wajinga sana
2026-09-07 13:07:07
1
MTL Official💯 :
Sikupingi Dada
2026-09-04 10:18:24
1
Gee empire og.....44 :
sioni comments za wadau.
2026-09-04 21:29:49
1
kasong elonga :
naomba moya tafadhali kwaajiliangu mrembo wng ana nipa dalili zote zakuonyesha upendo gisi ume shauri lakini nime gogewa na mwegine mwanaume alfu ananioma masamaha, nami vile namupenda sana nimekosa maamuzi nisaidie tafadhali 🙏
2026-09-05 13:24:48
1
🇫🇷 france :
kabisa dada
2026-09-13 01:07:03
0
user6786723845285 :
OK
2026-09-12 04:41:05
0
Murshid Murshid :
sasa nifanyaje na nishamuoa?
2026-09-12 18:03:04
0
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm
homepage.