@blaxstore175_hq: Google, Apple na Samsung wanaelekea kwenye ushindani mkubwa wa simu zao za flagship, huku kila kampuni ikisukuma teknolojia ya kiwango cha juu zaidi. • PIXEL 11 PRO XL: Tensor G6, RAM hadi 16GB, skrini 6.8” 120Hz, kamera 50MP + 48MP + 48MP na betri 5,115mAh. • IPHONE 18 PRO MAX: A20 Pro, RAM 12GB, skrini 6.9” 120Hz, kamera tatu za 48MP na betri 5,235mAh. • GALAXY S27 ULTRA: Snapdragon 8 Elite Gen 6 Pro, RAM 16GB, skrini 6.9” 120Hz, kamera kuu 200MP pamoja na 50MP + 50MP na betri 5,700mAh yenye kuchaji 60W. Kwa vipimo hivi, Galaxy S27 Ultra inaonekana kuwa na betri kubwa zaidi, Pixel 11 Pro XL ina RAM kubwa, huku iPhone 18 Pro Max ikitegemea zaidi nguvu ya chip ya A20 Pro.CC @blaxstore175_backup @blaxstore175_ #Tech #technology #blaxstore175 #competition #tanzania

Blaxstore175_HQ
Blaxstore175_HQ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 08:23:05 GMT
6053
116
2
0

Music

Download

Comments

ramadhanii372
RAY TZ...👊 :
iPhone
2026-09-04 11:33:00
0
richard.mgonja2
Richard Mgonja :
😳😳😳
2026-09-05 18:29:48
0
To see more videos from user @blaxstore175_hq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About