@mzeewacodes7: Mbunge wa Katavi Thomas Maganga amesema “Naendelea kukaa na Wanasheria na watu wote na watu wote wanaochukia hivo vitendo kutafuta namna bora ya kurekebisha sheria hili sasa hata waajiri wako kama mtu anaweza kuhukumiwa kunyongwa kutokana na mazingira kwa nyinyi wa ajiri yani wewe tunakuhisi ni shoga na tunahisi matendo yako yanafatana na vitu kama hivi usichukuliwe hatua kwahiyo tunataka kuleta mabadiliko ya sheria” “Kwanza moja mwanaume kujifanya mwanamke ni kosa hukumu yake iwe wazi huwezi kufanya matangazo ya biashara wewe mwanaume mpaka kuanza kuvaa mawigi sijui kuanza kuneng’ua kama mtoto wakike hapana”. Thomas Maganga