@alhaj.ae: ليس كل شراء للأرض استثمارًا ناجحًا… والموقع هو الفارق. هناك أراضٍ تم شراؤها قبل 20 عامًا، ولا تزال حتى اليوم دون تطور حقيقي حولها. والسبب أن قرار الشراء لم يكن مبنيًا على مؤشرات نمو واضحة. أما الاستثمار المدروس، فيبدأ من قراءة المنطقة وما يحدث حولها. في هذا المشروع، نحن نتحدث عن موقع يبعد نحو 3 كيلومترات فقط عن المخطط عبر طريق دولي معبّد، وعلى مقربة من المدينة الصناعية البيئية التي تستقطب الاستثمارات وتوفر بنية تحتية متكاملة وحوافز للمستثمرين. إضافة إلى ذلك، يأتي المشروع ضمن محيط مدينة عمرة، مع قربه من العاصمة عمّان واتصاله بشبكة طرق دولية، إلى جانب توفر الخدمات ومقومات النمو حوله. الفرق ببساطة: أن تشتري أرضًا وتنتظر أن تنمو المنطقة من حولك، أو أن تختار أرضًا في منطقة بدأت مؤشرات نموها تظهر بالفعل. الاستثمار الذكي لا ينظر إلى الأرض وحدها… بل ينظر إلى ما سيحيط بها غدًا. #الاستثمار_العقاري #الأردن #عمان #مدينة_عمرة #محمد_الحاج

MOHAMMED ALHAJ محمد الحاج
MOHAMMED ALHAJ محمد الحاج
Open In TikTok:
Region: AE
Friday 04 September 2026 08:33:14 GMT
6648
35
3
14

Music

Download

Comments

salamahmad2022
salamahmad2022 :
ممكن تفاصيل والسعر النهائي
2026-09-04 19:59:05
0
To see more videos from user @alhaj.ae, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

DAR ES SALAAM: Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Godfrey Tumaini William, maarufu kama Dudu Baya, Mamba 24, Oil Chafu au Konki Master, @mambadudubaya24 ametembelea kampuni na kiwanda cha uzalishaji wa tisheti cha Mbogwe Nsoga kilichopo Tabata Magengeni, jijini Dar es Salaam, kinachoongozwa na Mkurugenzi wake, Peter Deus Nhabasha @peterdeusnkingwa Katika ziara hiyo, Dudu Baya ametoa salamu kwa vijana na wafanyakazi wa kiwanda hicho, huku akiwahimiza kufanya kazi kwa bidii, kuzingatia nidhamu na kujiepusha na mambo ya mitaani yasiyokuwa na tija katika kujenga maisha yao. Aidha, ametumia kaulimbiu yake ya “YOU BETTER WATCH YOUR BACK”Hali ni Mbaya, kuwasilisha ujumbe wa kampeni yake ya kupinga mapenzi ya jinsia moja. Dudu Baya ni miongoni mwa wasanii waliochangia kuweka misingi ya muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 2000. Msanii huyo kutoka Mwanza, Kanda ya Ziwa, alianza safari yake ya muziki akitumia jina la Double G (Godfrey Gangster) kabla ya kujulikana zaidi kama Dudu Baya, akipata umaarufu kupitia wimbo wake Mwanangu Huna Nidhamu uliogusa masuala ya malezi na mahusiano ya kifamilia. Akizungumzia uhusiano wake na Mkurugenzi wa Mbogwe Nsoga, Peter Deus Nhabasha, Dudu Baya amesema wamejenga ukaribu wa kifamilia tangu walipokutana nchini India, wakati Peter Deus alipokuwa akimuuguza mama yake mzazi na yeye akiwa katika mazingira ya matibabu. Amesema ukaribu huo umeendelea kuimarika hadi kufikia hatua ya kutembeleana na kushirikiana katika shughuli mbalimbali. Ziara hiyo imekuwa fursa ya kuhamasisha vijana wanaofanya kazi katika kiwanda hicho kuthamini ajira, kujituma na kutumia muda wao kujenga maisha bora. Dudu Baya amesisitiza umuhimu wa vijana kuzingatia kazi na kujiepusha na mienendo inayoweza kuwazuia kufikia malengo yao. Mbogwe Nsoga ni kampuni inayojihusisha na uzalishaji wa tisheti, ikiwa sehemu ya shughuli za uzalishaji na biashara zinazotoa fursa kwa vijana kushiriki katika kazi na kujenga uwezo wao kiuchumi @JIMBO LA MBOGWE-GEITA @peterdeus91 @fagason aron nkingwa @UVCCM_TAIFA  Na:@comradewaziri_mfianchi

About