mi saiv jamaa yyt akinitaka namwambia i need some money for my maintance anakimbia 🤣🤣🤣
2026-09-04 21:30:17
0
Neahsmile :
Nimeanza kuwa hivi wameanza kuniambia nna roho mbaya nawachekaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣…maana Aluta continua
2026-09-04 13:09:21
23
j grow crown product :
Ubinafsi ni ulinz jmn saivi ndio naona🥰🥰
2026-09-04 13:21:33
27
S.U.H🧶🪡✂️ :
mm huyo sasa hivi nimekuwa nafuraha Sana,Zipo lawama lakini hazipi tena Huzuni,zamani nilitaka kiwaridhisha watu Ili wasinitenge,nisiwakere ila yakufanya yote hayo bado walinitenga,waliniweka karibu pale Tu ninavyowapa.Haya Maisha Raha jamani
2026-09-05 09:46:28
1
mom khaitham :
nimekua mbinafsi 😂😂naambiwa nimekua jeuri nimepata wanaume wengine aiiii😂😂 kua mbinafsi Raha sanaaaa maumivu utayasikia tu
2026-09-04 16:15:18
10
Jescah🦋❤️🌸 :
Hak ubinafs n kuwaek wat mahl pao
2026-09-04 09:26:54
8
Cc leo :
Extra True 💯
2026-09-04 13:06:59
1
beatrice__ :
na Ka roho mbaya kidogo just a pinch😁
2026-09-05 05:39:27
0
_Nm :
Well said
2026-09-04 18:55:18
0
Angel David louteli 😇 :
kwanzia Leo naanza kujiweka Mimi mbele🥰
2026-09-05 08:53:01
0
Winnie58 🦂 :
Kukupenda tyuu jamn🙏❤️
2026-09-04 13:34:10
2
……………..🤍 :
Kwanza ukijikuta uelewi baada akwambie nilikuomba ufanye🤣🙌
tungekua wanawake pia tuna ubinafs kama wanaume tungekua mbal kimahusiano
2026-09-05 07:39:55
0
Sumy🇹🇿 :
you're right girl, sie pia ni wanadam kwnn sasa tuteseke kwsbb ya wanadam wengine jmn kwaiyo a girl ukipata nafas ya kuenjoy your life alone just enjoy it kwakweli
2026-09-04 19:52:53
0
@ princess_zuuh :
nakupenda dada unasemaga ukweli tu mungu akuweke
2026-09-05 06:34:33
0
Frida Chami :
Una akili kubwa sana
2026-09-04 17:41:58
0
ItsmeNay :
😂😂😂😂 😂Hii naiweza mbona siku hizi sijitolei kwaajili ya mtu yoyote labda mama angu tu
2026-09-04 17:35:23
3
To see more videos from user @iamlillys, please go to the Tikwm
homepage.