kaka unayesoma comment hii nakuomba uwe mpenzi wangu nimechoka kuwa single
2026-09-04 17:22:37
10
julykeyz :
mr goodluck😁
2026-09-04 10:59:37
0
Salugabo's Jembe :
uncle T
2026-09-04 20:17:39
0
Princess Tuma.... :
Ignorance of the law is no excuse🙌🙌
2026-09-04 15:39:40
2
j baby 🥰🥰💞 :
mitandao ya wengine sheria watoe wengine jmn
2026-09-04 16:41:56
6
bisco_supernatural :
sawa. Na kwanini mkapewa elfu 50 kila mmoja wakati mliitwa kwa makosa.
2026-09-04 18:16:22
2
𝗪𝗜𝗧𝗙𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗧𝗧𝗬🌹💞 :
Naskia mumepewa 50,000/= nipe ata 1000 ya vocha
2026-09-04 20:04:53
2
Brilliant👑 :
Kaka umeeleza vizuri sana na umeeleweka... Tupo pamoja kaka 🙏
2026-09-04 10:20:38
11
elithinixty 28 :
10/10
2026-09-04 09:44:47
2
In Jesus we Thrust 🇮🇱 :
kutokujua sheria hakukuepushi na makosa ya uvunjaji wa kisheria, na kutokuamini uchawi hakuwafanyi wachawi washindwe kukuronga, na pia kutokumuamini Mungu hakutamuepusha mtu kuhukumiwa na Mungu 🙏
2026-09-04 10:39:37
9
🦋Zayra sTaR🌟 :
12/12
2026-09-04 15:31:37
0
Sandals chap :
Izo zinatoka kwenye katiba mpya tunayo itaka au ya zamani…?
2026-09-04 17:06:57
4
Gwama Salila :
mbona hizo sheria Zinatajwa kwa lugha mbili? nikweli kishwahili hakijakamilika?
2026-09-04 14:42:33
2
bajaji_point :
Mboni sijasikia apo sheria ikilinda wanaume kushambuliwa mtandaoni nimesikia kwa wanawake tuu..? Au sisi wanawake hawatukosei?
2026-09-04 14:23:07
1
LIDA RWAMBO :
sio zinaeza Bali zinaweza😳😂
2026-09-04 15:20:17
1
sleman05 :
2026-09-04 17:15:45
1
MR_MAJA_NAILS :
Hatutaki tutafanya makosa tutatukana kama kawaida tu hamtulipii bando
2026-09-04 16:15:54
1
I belong to her🥹😂 :
dada unae soma comment yang nakupenda😁😁
2026-09-04 15:54:23
1
To see more videos from user @____mr_mwanya, please go to the Tikwm
homepage.