mm wangu anasemaga hivyo hivyo bas namchambaga akiniudh Kuna mda nikikumbuka namuonea huruma 2023 niliwah mtukana vibaya nilikuwa mjzito baadae nilimuomba msamaha kama Mambo yenyew no hayo nimeacha huyu wangu ataniua na vile mkubwa mpk mikono 😂ataniua
2026-09-04 13:19:48
8
elegantstore01 :
Afadhar umeniambia mapema ngoja nijitulize cha kufia nini 😂😂😂😂😂
2026-09-04 12:53:21
5
Christina💞 :
😂😂😂😂walahi utaniua mbavu mie🙌🙌🙌🙌
2026-09-04 18:58:17
7
n.a.a.h🍒 :
🤣🤣bwan m nimecheka
2026-09-04 15:57:43
5
sp jmaths :
we mwanaume mpole like hapa 😁
2026-09-05 10:33:05
12
amcathy :
😂😂😂nimecheka mpaka watu wananishangaa😂😂😂😂
2026-09-05 12:45:40
2
Manager_tonny :
HAUJUI
2026-09-13 13:22:57
2
Barbie Terry💋🦋 :
Me niliwai kupigwa mpk nikataka kwenda hospital nikapimwe kichwa nikahis labda ubongo wangu umecheza jmn na tuliachana nashukur kile kilikua sio kipigo