@bbcnewsswahili: Je unaweza kukubali kumbebea mtu mwengine ujauzito au kubebewa mimba na mtu mwengine? Mtindo huu umeanza kushika kasi kama mojawapo ya suluhu zinazofaa zaidi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi. Kwa jina la kitaalamu 'surrogacy', ambapo kiinitete huundwa kwa kutumia yai la mama lililokusudiwa na mbegu za kiume za baba anayekusudiwa kisha kuhamishiwa kwenye mfuko wa uzazi wa mtu mwingine. Ingawa hii inazidi kupata umaarufu, nchi za Kiafrika hata hivyo hazina sheria zinazofaa za kuwalinda akina mama wajawazito na wazazi wanaowaagiza. Nchini Kenya, Ukosefu wa sheria juu ya kuasili imefanya iwe vigumu kwa wazazi kupata watoto wao kwa vile wanapaswa kupitia mchakato mgumu wa kuasili. Agnes Penda amezungumza na mwanamke anayefanya kazi ya kubebea wengine mimba na mtaalamu wa upandikizaji. #bbcswahili #foryou #fyp #kenyantiktok #surrogacykenya

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 17:00:00 GMT
111538
5461
466
317

Music

Download

Comments

purity.olwari
Purity Olwari :
naweza PATA connection niregist I'm willing
2026-09-08 13:51:26
0
onasakajessica
onasakajessica :
what is the name of this hospital ?
2026-09-08 13:37:22
0
sally80969
Sally 🇰🇪 :
surrogacy is not everyone. you need to be disciplined etc not umebebea mtu mtoto na unahanya,unakunya pombe etc .Am also looking for a surrogate.Must be disciplined one
2026-09-07 15:18:46
7
miriam.j100
Miriam J 💯 :
Bei gan kubeba mimba Moja
2026-09-06 19:28:15
37
jescahbeva
SASHABEB :
HUYU NAMJUA NISHAWAI KWA NAE NYUMBA MOJA. SHE IS BEAUTIFUL AND YOUNG NA AKO NA HAO WATOTO AND SHE KNOWS HOW TO COOK WELL
2026-09-06 21:15:32
7
chesaamimah
Chesaah :
naweza beba pia nipee connection ya surrogate
2026-09-06 21:54:23
1
leah.richo3
Leah Richo :
how can I be a surrogate, where can I get a client
2026-09-07 09:59:05
0
millykibz
Miriam ray :
how old are you
2026-09-06 18:15:31
0
bettyada5
bettyada5 :
yes naweza bora tu kuelewana niko na watu tano wanataka hiyo kazi
2026-09-06 21:47:23
12
amorpowers6
🦋Tia🦋 :
I know this lady..she's one of the best people 🥰
2026-09-07 05:37:10
18
user8773165853223
shiku joyce :
I need child please give me number
2026-09-06 21:57:39
1
qautar....182
cute.....ray💖💖💖💖 :
mkuje Sasa mm hii kazi naipenda hatari😂
2026-09-06 21:45:51
8
jokenya9
jokenya🇰🇪 :
I would like to help too even once to someone and bring a smile to her
2026-09-06 19:03:00
9
maureentsindoli28
Moulyline :
Mimi Niko hapa simtu anichukuee nimbebe mtoi
2026-09-08 07:31:45
0
agghi39
🇰🇪Kemmy254 ❤️ :
nipee connection 😂😂😂
2026-09-07 22:46:21
0
glody.la.goloise
aluwagetrude :
siwezi hataziku moja hiii maumivu ya mwezi 9 ili nipane mutoto siwezi
2026-09-06 21:26:25
6
lrine525
lrine🇰🇪 :
weee na vile kuzaa ni uchungu
2026-09-06 18:50:28
9
daisha6655
daisha :
kubeba triplets ni how much. economy ni mbaya
2026-09-06 23:35:43
7
misszanzibar2
MISSZANZIBAR😍 :
I love to help like ile bond ya kubeba mimba miez 9 alafu nipean sijui km nitaweza
2026-09-06 18:13:07
5
marywambui1849
wambu 💕💜 :
mm siezi bebea mtu 😁😁😁
2026-09-07 14:43:45
0
akamamasafi
@Monipesh the songwriter :
nakumbuka 2015 Kuna mtu aliniambia nimbebe mimba nilipwe 300k nikakataa heri ningekubali
2026-09-07 21:20:20
1
emmjacks
user1888083921572 :
Gai 🙆,nitapata wapi mtu wa kubebeya mtoi aki coz I can
2026-09-08 10:44:12
0
mishealo1
Aush da girl toto🇴🇲🇰🇪 :
hii hosi iko wapi
2026-09-07 05:23:23
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About