@lily_mchaga2: Tukutan kweny comments🙌🙌

lily_mchaga
lily_mchaga
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 10:01:35 GMT
156128
13822
510
42

Music

Download

Comments

burma.kid
@burma kid :
nicoment voice note 💔💔😭😭😂😂
2026-09-06 14:06:09
1
shebby_nassy2
shebby_nassy :
hv tiktok hakuna sehm ya kurecord voice coz typing pekeake haitosh kuelezea😒
2026-09-06 08:10:31
2
dayanamchaga1
Habiana love1 :
kila mda yuko bize na kazi😳😳
2026-09-04 10:18:41
165
cathycut8
☘️it's ketty 🖇🦋❤️ :
mapenziiiii🙌💔😩
2026-09-05 11:48:51
63
amayrah018
🦋𝓜𝓼.𝓟𝓮𝓻𝓯𝓮𝓬𝓽🥂🎀 :
Alini-Add kwenye group la michango ya Harusi yakeeee😭😭😭😭😭😭🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹
2026-09-07 08:42:33
1
shamvuu1
SHAMVUU😘 :
namuomba hela anasema Hana Kila siku😅😅🙌
2026-09-05 06:42:29
68
larl3en_06
🧸نسر🏵️ :
Stoweza kuyamlz😭😭💔💔
2026-09-06 13:25:50
1
african.boy73
African boy :
mchaga og
2026-09-05 20:39:48
0
bupealex
ruuh ❤️ :
nilikuw nikumuomb hel anasem hel zak zin mipang ☺️
2026-09-05 14:04:16
18
nana.cute243
nana cute💜 :
nikipga cm anasema subil kdg nakucheck
2026-09-05 08:42:13
11
its36532
💫its 1 . er :
tulipokuwa njian tunatembea ananambiy tukae mita 3 watu wasitfikilie vibaya
2026-09-04 12:42:50
44
0neandonly41
spero spera💝 :
ali ni block alloh
2026-09-05 07:54:49
1
rukiah0573
Rukiah💔👀 :
nilimuuliza unanipenda kajibu sjui😂
2026-09-04 11:05:53
33
inflammable08
Inflammable 💥 :
mnao comment kuen wabunifu maana sisi wengne furaha yetu ni kusoma COMMENT zenu
2026-09-05 13:43:24
42
official.love721
official love :
nilimuuliza ivi unanipenda akaniambia we unaonaje 😳😳
2026-09-04 12:19:36
12
miss.candy789
💫papee💞😜 :
alisema anachukia nnavyoenda kwake nikamuuliza ananipenda akasema nisibadilishe mada kwann naenda kwake nnavyojisikia🥺🥺
2026-09-04 11:27:10
28
biashara.yako
ANZA | JUHUDI | FANIKIWA :
Mimi kaniwekea chai ya moto kwenye kikombe cha plastiki kisicho na mkono ilhali kuna vikombe vya udongo vizuri
2026-09-05 13:39:59
5
fadhilababy
fadhila 🦋🦋🌹🌹 :
nilipo acha kumtafuta nayeye kaacha kunitafuta😂😁
2026-09-04 17:18:17
13
maryfredy5
🦋marry🦋 :
nilpga sm hakupoke badae nilpo mpigia akapokea namuuliza kwann? hukupokea sm zang ananiambia nenda kwenye point🥺🥹🥹🥹
2026-09-04 12:52:10
8
asmaamaulid200
Asmaa Maulid 98% :
alikuja na ex wake nyumbani kwangu akasema saiv ni marafiki tu
2026-09-05 08:04:27
7
aylah4790
Aylah :
Aliniambia ukijag kuolew mumeo atafaid sanaa🥹🥹💔💔
2026-09-05 10:30:54
5
anastdwt6j8
anna😘 :
tumedate miez 8 ,nimejua juzi ana mtoto wa miez 11months😂😂😂😂😂
2026-09-05 06:26:23
12
To see more videos from user @lily_mchaga2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About