@bbcnewsswahili: El Niño "iliyo kali zaidi" huenda ikatokea Mwezi Oktoba ambapo mataifa yametakiwa kuharakisha maandalizi dhidi ya hali mbaya ya hewa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limeonya kwamba tukio hili la asili la hali ya hewa la El Niño linaweza kusababisha usumbufu mkubwa kwa uchumi wa dunia, kutokana na athari zake za mvua kubwa, mafuriko, ukame na mawimbi ya joto kali katika maeneo mbalimbali duniani. Mwandishi wa BBC @CaroRobi na taarifa zaidi #bbcswahili #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #elnino #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 10:18:35 GMT
225105
11399
235
920

Music

Download

Comments

giana8639
Sasha baby 💝 :
uwo utabili hauta timia kwa jina la yesu
2026-09-04 13:10:37
381
pochoalice29
Morissette :
Tutavuka kwa jina la Yesu
2026-09-04 11:10:36
150
kingmooally
🌻 :
billion 730 naenda ulayaa😂😂😂
2026-09-04 13:05:00
0
henrick_more
HENRICK :
ata corona mlisema itatumaliza lakin hamna lolote
2026-09-04 10:32:33
52
mbape168
mbape7 :
hakuna mtu mwenye utayari na elninyo tuombe salama na mvua ya kheri tu
2026-09-04 10:35:31
126
user91941513171468
user91941513171468 :
Sisi ni binadamu lkn wewe ni mungu akuna jambo gumu kwako nimaombi yetu tunakusii baba wahuruma na rehema nikweli tunaitaji mvua lkn tu nakuomba utumpe mvua za kiasi.. Ameen
2026-09-04 12:56:17
58
siangichamult
SIANGICHA MULT BUSINESS :
Allah atunusuru
2026-09-04 13:35:52
0
sweetwitty
W🫶🏾❤️ :
Ela ya mchezo ntapata wp😭
2026-09-04 12:47:23
7
ramadanharoun1
Ramah :
I'm the first today
2026-09-04 10:28:09
1
bungarabungara
bungarabungara :
Tujuane kwanza tusiojua maana ya olmino
2026-09-04 16:00:27
8
bupaquine
MISS-TEMBO🦏🦏 :
mungu wa mbingun atulind 🙏🙏
2026-09-04 10:27:08
23
nwtrends2023
Dreamer :
May Allah protect us
2026-09-04 17:49:50
1
richngowi
RICHARD NGOWI :
We trust in God
2026-09-04 11:55:48
1
modestamunyuku818
modestamunyuku818 :
Baba wa mbinguni tuhurumie
2026-09-04 19:35:10
1
grace.hendrick8
Grace Hendrick :
Mungu tunashukuru kwamvua za kiasi bila madhara.amen
2026-09-04 13:57:56
10
pilato6464
pilato :
helps god
2026-09-04 10:46:26
0
suleshistarwise
Suleshi Starwise :
Vipi Tabora itafika?😳
2026-09-04 18:00:16
3
joycemeyer2000
Joyce Meyer :
Neno la MUNGU linasema ikiwa watu wangu walioitwawkwa jina langu wakinyenyekeza na kuomba na kuutafuta up wangu na kuacha njia zao mbaya mimi BWANA nitaipinya nchi…wa Tanzania tuombe watanzania tutubu 😭😭😭
2026-09-04 14:07:49
10
maryam.ahmed0601
Maryam Ahmed :
mungu atatunusuru waja wake tuzidi kumuomba yeye tu ndiyo muweza wa yote
2026-09-04 12:10:02
8
salisa197
Ann salisa♥️ :
hata bibi yangu alikuwa ajazaliwa
2026-09-04 18:28:30
1
asmaamusa620
Esma musa 🇺🇬🇰🇪 :
Allah atatulinda inshallah
2026-09-04 19:37:40
1
aida.mufumya
Aida Mufumya :
tutubu dhambi tumludie Mungu, haki yake itatuokoa 👏
2026-09-04 17:34:30
1
mobaaroos
OfficialMo✅🕢 :
Hakuna kitu Kama icho nchini kwetu inshallah
2026-09-04 16:56:21
3
neema.mollel71
Neema Mollel :
Mungu tunusuru 🙏🙌
2026-09-04 14:21:11
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About