@_kanyari: Today I’m heading to Kasarani to share food and a little love with some of our elderly mothers. ❤️🙏 It’s not about how much we give, but the love behind it. May God continue to bless us so we can be a blessing to others. #kanyari #kasanakanyari
tebelea huyu ni babangu mudogo ako na shida Sana, anaenda vibarua na ni musee
2026-09-04 16:48:48
3
essy :
siku moja kuja ututebele huku loitoktok....ni long time
2026-09-04 10:47:58
3
Dad's daughter :
siku ya wajane unitag pastor🙏
2026-09-04 11:00:27
1
sharonrazia :
ata mh nishai lala njaa
2026-09-04 16:25:39
1
princess tiana :
Amen
2026-09-04 12:30:42
1
sharz :
siuntumie food yangu kwa mpesa tu🤭
2026-09-04 11:02:36
1
user9249944297667pamie :
nililala njaa Sana na watoto wangu
2026-09-04 11:54:06
1
🇺🇸🇱🇷joy Quincy 🇰🇪🇬🇧 :
mara 200
2026-09-04 13:11:19
1
val :
uzuri yako hupendi tukiwa njaa🥰
2026-09-04 12:41:46
1
Liz TV :
kanyari mm nakuombea upite hii kura
2026-09-04 11:51:50
2
😍 :
kanyari nakutafuta.usinilenge niko na kura mingi zako
2026-09-04 10:37:58
1
eldahnafula :
depression is winning me 😭😭😭
2026-09-04 10:31:10
1
Shalyn Mike :
pure ministry may God bless you and keep you 🙏
2026-09-04 11:34:46
1
beckymmake :
My son ameishiwa na viatu kabisaa,anaenda shule na gumboot na zinamchoma juu ya jua, I have failed as a mom , Mimi hufanya vibarua na saa zingine zinakosekana yenye inapatikanaa inakua tu ya fud, mtu anisave na 250 shs niende soko nimtafutie kiatu ama wenye mko githurai na kiatu no 34 mnibariki nayo ni boy but sitachagua kiatu ni ya gender Gani any nitashukuru🙏🙏🙏
......
2026-09-04 14:07:17
1
Stella Sophie :
Mhesh mm nmezaliwa kakamega shakakhokho nkikula miwa na tunalala leo ninunulie lunch sasa anyway good job mheshhhh💚💕
2026-09-04 10:31:27
1
Dismas Omukaga :
pastor kanyari ujambo
2026-09-04 17:55:32
1
auntie the chosen :
yes many times
2026-09-04 19:19:20
0
Chef Rodgers :
Leo nimekua wa kwanza kulike..nibuyie supper
2026-09-04 10:29:10
1
To see more videos from user @_kanyari, please go to the Tikwm
homepage.