@omarimshairi: Mnyama ndani ya Malawi kwenda kutengeneza njia ya kwenda makundi Simba wamewasili salama Malawi wakiitaji kufanya vizuri huku kikumbukwe Simba msimu jana waliishia makudi je? swali lakujiuliza Simba wamejipanga vipi msimu huu Maswali Kwa bechi la ufundi na viongozi wa Simba Tunaitakia Simba Safari njema ya kuipambania nembo ya taifa PAMOJA na Timu #NguvuMoja SimbaNguvumoja 🦁🦁🦁🇹🇿 ✍️ Shakipete follow meKikosi chetu cha Simba sc kimetua salama nchini Malawi kuwakabili Mighty wanderers Wikiendi hii -kikosi kitafanya mazoezi leo jioni na kesho pia ambapo kitakuwa kimekamilisha kila kitu kuelekea mchezo rasmi utakaopigwa tarehe 06 ya mwezi huu ambayo ni keshokutwa #simbasc #simbasportsclub #simbanguvumoja🦁 #nbcpremierleague