@angukanayokwa2999: ZILE BOX PENDWA ZA WATEJA WETU,KWA ELFU 30000 TU UNAJIPATIA MAMBO KAMA HAYO,VYOMBO VIMEJITOSHELEZA KABISA. HII SIO YA KUKOSA WAPENDWA. BEI NI SAWA NA BUREEE.. 📍TUPO KEKO PEMBENI YA MSD ☎️WASILIANA NASI KWA 0760600226. 🚚DELIVERY TUNAFANYA KWA HARAKA NA SALAMA. WAHI BILA KUKOSA. #fyp #viral #shopnow #kitchenware #sale
Anguka Nayo Kwa 2999
Region: TZ
Friday 04 September 2026 10:56:04 GMT
Music
Download
Comments
Fravyi🌷🌹🌹 :
nirudishen jmn
2026-09-04 12:17:18
514
binti ng'akuya :
nirudisheni jamani
2026-09-04 17:36:16
148
fatma :
hiyo unayopaki kwenye box bei gan mpendwa nimeipenda
2026-09-04 13:46:58
12
Nyamibobo🫥💗 :
naombeni mnirudishe nipo kwenye makelel🥺🥺
2026-09-05 06:23:19
196
LIKA🫶😍 :
mbona kila mtu nirudishe shida nn
2026-09-05 14:56:59
48
moonfarm.tz :
Nirudisheni na Mimi Nina tatizo la kusahau
2026-09-05 08:28:58
98
Lastßørñ :
Sirudishi mtu mimi niko busy
2026-09-06 13:22:03
22
phinaa❤️🍫🇹🇿 :
Naomba kuuliza kwa tuliopo dar je Una boda boda anae weza kuleta mzigo aondoke na pesa ??
2026-09-04 21:18:18
15
divyasinha94 :
mi nimetafuta hii sehemu mbona sijaiona sababu nami naishi keko, maana kila tukiuliza watu hawajui
2026-09-05 10:48:55
10
Momo🦋 :
Jaman nirudisheni
2026-09-05 12:28:13
10
Firstdaughter :
Nirudisheniii Jamanii mpk nitokeee kaziniiii
2026-09-06 00:57:33
20
verah :
Mpo wap
2026-09-04 21:17:21
0
@dearsoul :
Anguka nayo ;Natamani ningeweza kuchukua na kuuza inawezekana kweli?
2026-09-09 11:16:45
0
Rahila🤩 :
zanzibar unafanya delivery 😳😳 naomba unijib tafadhal
2026-09-07 10:36:42
0
Jane mbegeze :
naitaji nipo kimara
2026-09-05 04:29:53
0
jelda cute :
nahitaj nipo dodoma
2026-09-07 09:50:53
0
Reynaah :
mnapatikana wapi
2026-09-21 12:45:09
1
malikimonti :
bado zipo
2026-09-04 22:58:52
0
Antonny :
naombeni namba
2026-09-06 03:09:47
0
dayer🍭 :
Nahitaji
2026-09-05 09:19:51
1
recho mgeni :
mnapatikan wap
2026-09-05 04:14:51
0
ladyjaguar leah :
mkoan mnatuma
2026-09-04 14:03:20
0
💫scolar👒💃 :
nahitaji
2026-09-05 03:48:47
0
henstone_7 :
hii mama asiione
2026-09-05 13:35:34
0
Khairat Haroun :
unatum zanzibar natak
2026-09-04 18:16:18
0
To see more videos from user @angukanayokwa2999, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.