@triggah_25: Rayvanny na P zamani za kale 🤣🤣#newchallenge #kenyantiktok🇰🇪 #fyp#fypシ #tanzaniatiktok #zanzibartiktok #zambiantiktok🇿🇲 #fyp

MR LYRICS
MR LYRICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 11:08:39 GMT
125738
9995
196
144

Music

Download

Comments

dollyz805
dollyz💫 :
nilichogundua huyu anampenda sana paula😁
2026-09-04 12:44:49
194
mercylina670
mercylina :
ray love Paula......sana
2026-09-04 11:34:58
96
pamela7133952393323
pamela_27 :
Yaan kaona wameelewana phayma na paula sas anataka awagombanishe tena ila huyu kaka nyie phayma kaz anayo🤣🙌🙌
2026-09-05 04:49:57
80
opprahtorr
Opprah Torr :
mnaohurumia fayvanny kapost pia ray ft harmonize
2026-09-06 21:01:45
0
swaumu316
Swaumu💕 :
Khaa nyie uyu kaka!
2026-09-04 13:23:15
67
user9495606184591
regy gp :
kashindwaa kumoveon jaman ,Sasa fahma anajiskiajee
2026-09-04 13:16:17
52
user8861518670121
official TITO 💥 :
kwani Mario na fayma wanasemaje
2026-09-05 05:24:00
5
user2105298885817
Missing my mum :
fayma ana moyo🤣
2026-09-06 10:04:56
0
fine.girl853
pee🌸🇹🇿 :
rayvanny hupendi Amani ya fayma wewe khaaaaaaaa
2026-09-05 06:29:10
7
usermercylove2
mercy lover :
na hio ndo siri ya mapenz huwez kumove one kwa mtu uliempenda kwa dhati in deep miaka buku🤣🤣
2026-09-04 13:27:35
45
sam_chartal
Sam@ :
Hii ni familia Moja inaimbiwa mama na mwanae wote ma EX🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 07:11:12
14
ikwa_tz7
it's ikwa_tz🦅 :
Free rayvanny 😅 Back Paula Rest Fayvanny
2026-09-04 17:41:20
9
_genzfamily2025
M&V💫❣️ :
mh naomben mniambie hii ni nyimbo ya kale
2026-09-04 15:40:50
12
userrboy36
R boy :
kwel hiizi verse znamhusu Paula yaan marafiki walewale Leo wanakula palapale
2026-09-04 16:01:18
15
reytz58
rey :
kiatu cha fayma hakinitoshi😂😂😂
2026-09-05 15:22:49
4
delonshaxy
codes 318 :
harmonize kwanini umeruhusu hii mistari 😂😂😂 au ndo mmejitafuta ex baba mkwe na ex mwana muyajenge 😂😂
2026-09-04 20:09:10
17
miss.keilah0
Miss keilah :
paula jamani
2026-09-05 07:50:09
6
_linah_317
🌸LINAH🌺 :
Uyu bd haja move on nyimbo kamuimbia paula io😂
2026-09-04 13:16:02
11
agnesslau244
@agnesslau244 :
🥰🥰kajala na pau wana mganga wao waktesa x
2026-09-05 03:48:27
3
vailethmbawala702
vee junior :
mm na fayma hatuchekani ☺️mwanaume wangu yupo kama huyu
2026-09-05 14:37:24
4
b.danaso
B danaso 💍❤️ :
Ila wabongo mtu asitoe wimbo kamuimbia ex em punguzen uchonganish
2026-09-06 05:56:10
2
nicolaussecilia
sec :
free rayvan
2026-09-05 10:00:21
3
To see more videos from user @triggah_25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About