anakutukana na anakuachia laana na anakunyamazia kimya miezi halafu anarudi
2026-09-05 06:38:45
10
JeN#t :
tena anakuacha kwa matusi mengi lugha za karaha baada ya siku 90 anaanza kusema turudiane zilikuwa hasira tuu
2026-09-05 05:16:05
10
💍Am_fifi🛍️🫂❤️ :
Dah💔💔😔
2026-09-06 11:00:14
0
Domi :
aki naomba unisaidie .mwingine tulipata akiwa na shida ,baada ya kumufanya akaonekana akaniacha nifanye nini aki??
2026-09-05 20:04:18
2
kivuruge :
hapa ndio natafuta jibu kama nitalipata💔💔💔maana nashindwa kuelewa🤣😅
2026-09-06 08:20:59
0
Aisha Bilali huseni :
kutukomowa kikubwa nikuwaombea
2026-09-05 09:11:43
2
Birungi :
nikweli dada
2026-09-06 09:18:26
0
Mwabishi Wilkister :
hapo ndioo nko sai
2026-09-06 08:55:21
0
user19455911629455 :
hapo sasa
2026-09-06 08:22:21
0
Purple heart :
Aliniambia tuachane
2026-09-04 14:13:38
2
Ummyy :
swadakta
2026-09-05 04:13:15
1
sashuuofficial :
Anaekucha me najua huwa hakutaki tu basi🤣🤣 haina haja yakusumbuana tena
2026-09-05 15:00:39
1
Matha Baraka :
aipoiyo mama
2026-09-04 16:29:43
1
98 dark wood :
hapo sasa
2026-09-04 12:06:47
1
Evalyne :
niko na mume huyo aki
2026-09-04 14:23:24
1
Musafiri Dieu est bon :
urudiane na nani
2026-09-05 08:10:33
1
Sabrina Nduma :
kweli dada
2026-09-05 19:19:49
0
user73660567047283 :
Saumu Ashuraaa 👏👏
2026-09-05 19:53:16
0
Winny natumoi :
yaaaani mumgu asimame to ju kwa ili kuna kuchanganyikiwa
2026-09-05 22:57:25
0
NANA :
ndo nmeondoka na ikirudi ina pancha😅
2026-09-05 19:34:07
0
lahay :
wambie dada
2026-09-06 03:57:25
0
jackelo otieno :
mimi alioa kabisa sai eti ooh naomba turudi kama zamani nikamjibu tulia na mkeo 😂😂
2026-09-06 05:13:14
0
87@gmailShrarefah :
sanyengine huruma Tuu maana wanaumme mnapoacha his anabadilika anadhiofika Aliwal yupo yupo NDP pale roho ya huruma unarudi Ila unaporudi Tena inskuwa mtihani Zaidi
2026-09-04 13:37:34
1
To see more videos from user @saumuashura, please go to the Tikwm
homepage.