@96linktv: Sikiliza ujumbe huu mpaka mwisho kisha tuambie upo upande upi hapa 1.unaishi miaka 25/50 2.unaishi miaka 50/50 3.unaishi miaka 50/100 Full interview ipo kwenye YouTube channel ya 96link #96link #tunakuunganisha Powered by @mkombozi_office_furnitures_tz & @magic_builders_international
hayo mambo ya kuamka mapema ni mambo kudanganyana kila mtu ana njia yake kufanikiwa tuache kudanganyana hao kina MO Utajiri niwakurisishana kutoka vizazi hadi vizazi, kwaiyo za siri ya ya mafanikio ni siri hakuna tajiri atakwambia siri ya mafanikio yake zaidi kukuaminisha kujituma kwa bidii kuna watu wanaamka saa kumi mbili kila cku miaka kwa miaka wanaenda kuhustle ila mpaka wanafika uzee hawajafikia ndoto za utajiri cha muhimu kuweza tu kuendesha maisha yako bila kutegemea mtu yeyote mengine tumwachie mungu tu.
2026-09-07 11:53:36
0
MEDES CODES :
weweee! sisi tunapenda tunavoishi, umeanza kutupangia cha kufanya sasa duniani.. kwani tulikuja kutafuta mambo mazuri. acheni tuishi tunavotaka sisi.
2026-10-04 15:05:40
0
tee3490 :
very true…. ndio maana haitakuja kutokea kuisha kwa levels za utajiri mpaka umaskini
2026-09-05 00:33:21
0
Ãnthønÿ :
efootball🎮
2026-09-04 17:31:53
0
Calleb Olssens :
For the very first time..well said..
2026-09-04 16:39:23
0
vintanboytz :
nikweli bro
2026-10-21 10:01:37
0
malcolm Carbonation :
Asa mbona kama uyo mvivu ndio anaishi miaka 100 ndan ya miaka 50 sisi wengine tunapambana ndio iyo 25 maana kupumzika tunatamani sana ila majukum😅
2026-09-04 12:42:43
0
Mwitta.nova_c0re :
hiyo Kari kaka
2026-09-04 19:22:24
0
j6 bro :
wanao enda sokon Saa 9 usku ni matajiri eeh.makonda na madereva,magari stand za mabas ya mkoa.
2026-09-09 22:41:40
0
dinhaji_43 :
👌
2026-09-05 06:29:06
0
To see more videos from user @96linktv, please go to the Tikwm
homepage.