@motomaxxcharcoaltz: Haya wabongo 😍🔥 twendeni na mkaa wa kisasa! Mkaa unaowaka masaa 3+ bila usumbufu 🔥♨️ Hakuna tena kusema “duuh mbona mkaa wa leo mbaya?” 😂 Huu sio mkaa wa kawaida — ubora unaonekana kwenye moto. 🔥 Unatumia kidogo, unapata moto mzuri na unadumu zaidi. MOTO MAXX — mkaa wa kisasa kwa matumizi ya kisasa. 🖤🔥 #tanzaniatiktok #tanzaniatrendingvideos #kariakoo🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #bongotrending #wafanyabiasharatanzania