ilikua oda yetu hyo the food was so yum kwa kweli perfect one🔥🔥
2026-09-09 11:34:08
0
tajiri mfupi :
delivery mnafanya bure au
2026-09-15 11:40:45
1
Pinky💕🦋 :
Mikoan mnatuma?
2026-09-08 17:19:24
0
ziada ramso :
yaan km ivo vyote kwny kifuko ndo 15k dear???
2026-09-11 08:18:21
0
vitu bei ya china :
yaani Hawa ndo wanatufaa mtu ukiwa na sherehe yako simple
2026-09-11 14:33:18
0
fetty bby💝 :
mpo wap jaman
2026-09-04 14:29:03
0
ms.nour01 :
Then mkipigiwa cm mnasema amn kila siku……🙌
2026-09-05 12:06:04
0
Mrs khan :
bei mm naitaji
2026-09-16 09:56:03
0
Forever♾️couple♥️ :
Babe hapo ukita chips inakuwa bei gan
2026-09-08 23:15:10
0
Rukia Juma :
shida baadhi ya wapishi sio waaminifu waliniharibia shuhuri walinipa package baadhi Zina shingo tupu vibawa wakati nililipa pesa ya kuku robo na bites ukiwa muaminifu utatoboa
2026-09-14 15:12:31
0
julie :
No download Manategemea tutawashawishi vipi watoe pesa bila yakuwatumia kividoe waone na wao
2026-09-08 16:45:51
0
Mudrik Rajabu :
muda wowote delivery
2026-09-21 17:18:27
0
Last born💖🦋🔐 :
Mko vzr mashaallah
2026-09-21 13:36:44
0
Naah Dae Cutty :
delivery mbezi bei gani
2026-09-15 13:41:44
0
wadi :
nimeitazama ile iliyo mpakani nikaona inatafuta ugomvi
2026-09-13 22:09:28
0
upendodismasi :
nahitaji mawapataje
2026-09-04 20:04:10
1
Amina mohammed :
mnapatikana wap
2026-09-17 10:26:38
0
dyumamaryam :
mashallah
2026-09-13 13:18:39
0
mariam omary :
hii bei gani
2026-09-17 14:14:04
0
zaynab🌹 :
15000 hii hii yakibongo au nyingine??😅, we unanifaa
2026-09-10 07:55:28
0
Beuty house🦋. :
Uko wapi
2026-09-21 16:21:50
0
Last born💖🦋🔐 :
Kipnz mfungue office nyingine uku kwetu jmn maana tunateseka kufata uko mbl njaa inauma hd chkl kifike njaa ixhaanza kupoa tandika buza
2026-09-21 13:36:27
0
judy :
mpo wapi
2026-09-21 12:03:47
0
tima muhamed :
mnatuma mkoani
2026-09-04 15:15:16
0
To see more videos from user @frozenkitchentz, please go to the Tikwm
homepage.