@buku3stores: Hatimae Mshindi wa Pili wa Zawadi za Kila Mwezi Kutoka Buku 3 Store amepatikana, nae si Mwingine ni Dada ASHURA! Amejishindia TV aina ya Hisense 50Inches! Hii ndio Faida ya Kufanya Manunuzi na Buku 3 Stores, unanunua na unajiweka katika nafasi ya Kushinda zawadi mbalimbali kila mwezi! Mwezi huu Zawadi itakayoshindaniwa ni TECNO PHANTOM. Cha Kufanya Ingia Play Store au App Store download “Buku tatu Loyalty App” kisha fuata maelekezo! Au Fika duka lolote la Buku 3 Mpendae Mall au Mpendae Mall uliza mfanyakazi yeyote akupe maelekezo, huenda ukawa mshindi mwingine mwezi huu wa Septamba! #Buku3Store #kilakitu3000tu #tanzaniatiktok #zanzibartiktok #homeappliances