@rey.boutique_: NGUGU WATEJA,😅 HIKI KITU NITAKIELEZA KILA SIKU NA MUELEWE KUWA ❤️ Kitu kinaweza kuwa brand moja ,picha moja, lakini QUALITY na uhalisia vikawa tofauti kabisa .Tanzania kitu kikitoka original,copy yake nayo inatoka na cha kushangaza , hata wauzaji wa copy hutumia video za nguo original. Kwaiyo ukiona mimi nauza 150k na mwingine 50k , usiangalie bei tu na kusema tunaiba. Jiulize kwanza ; Ni original!!? Material ni ileile!!? Quality ni ileile!!?? Sisi wauzaji tunajua tunachouza. Na tunaposema QUALITY OVER QUANTITY tunamaanisha hivyo. Kama unatafuta vitu vingi kwa bei ndogo bila kujali quality hapa sio mahali pake . Bora kitu kimoja chenye ubora , kuliko vitu vingi visivyo na quality.✨❤️ #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok #mbeyafashion #mbeyaoutfits #trendingvideo
REY BOUTIQUE_🛍
Region: TZ
Friday 04 September 2026 12:53:11 GMT
Music
Download
Comments
zee la code :
nguo yao mbaya mbaya mbayaaaaa ngoja nitafute laki na 80 nikuje nimchukulie mpenz wang 🥰🥰🥰
2026-09-05 10:35:17
25
deyan :
kwel jmn very different
2026-09-05 09:09:08
9
love magari :
Kweli tofauti kabisa
2026-09-06 19:30:48
1
BEAUTY ZONE🌹 :
Njoen ninayo ya 45 tu 60 wapi uko😁😁
2026-09-06 19:35:22
1
dyee_og :
ndio 180k mmh
2026-09-05 11:15:23
7
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Yakwao nzur🥰
2026-09-06 15:42:40
2
user17078679614156 :
hyo gauni ndo 180 yaan navaa mwenz Moja tu fashion inapotea dhh
2026-09-06 19:21:24
1
MaryG Collection :
wanazishona Jamn 🥲😭😂 Yaani wanashona hapa hapa tz
2026-09-06 12:37:34
1
ANJE.🌹🦋 :
wateja mnalakujifunza hapa
2026-09-05 09:52:28
5
New Veni 🦋 ♐️ :
Tuonyeshe na yako maana umetuonyesha ya mily
2026-09-05 12:43:00
17
🌸🌼Beby Ruuu🌼🌸 :
Bei gan kipez
2026-09-05 16:56:41
1
GRACE🌸:) :
Iyo nyingine kama pazia duh😂😂
2026-09-05 21:03:51
1
Gal marrie❤️💦 :
Naomba yakwao bc🥺🥺
2026-09-05 17:47:24
1
Emily Dukani backup :
Umesema Ina cozet😂
2026-09-06 05:11:55
1
My Annie❤️❤️ :
Nini jaman ni mabalo yanauzwa au 🥺
2026-09-05 20:45:47
1
Sheisnecho6 :
pazia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 20:12:45
1
MsBanks91 :
Ila kweli nzuri cotton🥰
2026-09-05 22:34:49
2
miss Luna 🌕🌙 :
Mmm hatar sana. Hapo kuna nguo za kuuzwa na kuna nguo ya wote tupate 😂😂😂
2026-09-04 19:44:10
5
monaapple store :
Umetuelekeza kisomi🥰
2026-09-05 13:29:21
2
Da wii :
vizuri,haya nataka ya huyo ya elfu 60🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 20:56:25
3
belly bella :
mbona ya kwao ndo nzur
2026-09-05 14:30:13
3
Hair paradise🦋😍 :
Sasa hyo yako ndio yenyewe hyo
2026-09-05 12:51:56
3
sudy :
2026-09-05 08:58:28
3
GeehKaaya✨ :
Wana tuumiza na izo nguo zao jamani
2026-09-05 10:14:00
1
Ms Chemy99 :
Mtajua wenyeewe 😂😂😂
2026-09-05 13:43:14
1
To see more videos from user @rey.boutique_, please go to the Tikwm
homepage.