@ali_wisdom: Wape watu nafasi kwenye maisha yao. Ukiona wamekuchoka, usilazimishe kubaki. Waache waende kwa amani, bila chuki wala lawama. Usiwe mzigo mahali ambapo hauhitajiki. Ondoka kwa heshima, maana na wewe unastahili kuthaminiwa. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou