@ngosha_house_designs:

NGOSHA INTERIOR & EXTERIOR 🎨
NGOSHA INTERIOR & EXTERIOR 🎨
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 13:53:40 GMT
35801
1075
97
226

Music

Download

Comments

hellenkifaru
Hellen Kifaru :
good work kaka
2026-09-04 16:15:36
1
rock.city.legend
Rock city legend :
Hii ni Epoxy,3D flooring au?
2026-09-05 06:35:26
0
mungunimwema38
mungu ni mwema :
nyumba ikiwa na makorokoro mengi nyo so nzur michoro mingi ukutaninkaa😳
2026-09-05 05:35:49
5
azizaomar80
a :
j3 inateleza?
2026-09-04 19:44:01
0
morjanoman
Morjan Oman :
ongera Sana. kaka kaziyako mzuri Sana 🌹🌹🌹🌹
2026-09-04 16:55:07
2
moflin2073
Oriole :
Hii ndio kitu gani ngosha? Tiles au Marble
2026-09-04 16:54:31
2
stevekelvin990
Steve kelvin :
bei gani kwa square mita
2026-09-04 15:40:22
1
user4002437485789
Denis riwa :
unapatikana wap tukupe kazi
2026-09-04 15:29:18
1
hellensalugag3
hellensalugag :
wengine tuko TikTok kwa kutamani🤣🤣
2026-09-04 16:37:49
2
missmmi5
Missmmi :
kias gan kwanza maana naona nishaelewa
2026-09-04 18:25:53
0
mrs_sleym12
𝐦𝐫𝐬_𝐬𝐥𝐞𝐲𝐦12👸 :
mashallah kaka
2026-09-04 16:24:45
1
babafatty_112.com
Hussein_112 :
nimekubali kazi ni nzuri
2026-09-04 16:19:47
1
issa.juma220
Issa Juma :
znz tunapata vp
2026-09-04 18:05:17
0
zanzibar_lwc
Living Water church Zanzibar :
mnapatikana wapi, mawasiliano please
2026-09-04 16:45:50
0
nanalove8893
Nanalove🥰 :
me sjapenda mna mwisho yayachukiza t
2026-09-04 20:42:40
0
john.stephano11
john stephano11 :
na mwanza mnWeza kuja
2026-09-04 19:59:16
0
baby.j322
Angel 🥰 :
hyo nyumba yote Kila kitu bei gan?
2026-09-05 04:53:17
1
issa.juma220
Issa Juma :
ukitaka huduma tuna kupata vp
2026-09-04 15:50:02
0
nassirarashid
Nasra :
Kwani hapo sio Tanzania haijawahi kutoka Tanzania hapo wapi Kenya
2026-09-04 16:54:24
1
mamta8497
mamta :
iyo masta wapiii mmeiharibu... bora izo mauwa ungeweka ukutani mana humo kutawekwa kitanda , pia kuna zile kapeti huwekwa mbele ya kitanda ...🧏‍♀️
2026-09-05 07:26:29
0
akilihalisi8
akili Halisi :
samahani ila hiyo masta umeichafua bora kordo.. ni ushauri tu
2026-09-05 07:18:43
0
radhiya15
BE NICE 🕊️ :
mm kila nitakapo tembea hapo nitakuwa nachanganyikiwa na vizunguzungu piya😩😇
2026-09-05 07:15:48
0
user6677969983239
user6677969983239 :
nimeipenda nakupataje
2026-09-05 06:37:44
0
user2312865488727
user2312865488727 :
Mambo voice mkuu nitumiye number yako
2026-09-05 05:57:29
0
hlusama
hb :
hii ajab sasa tiles kwaheri
2026-09-05 07:38:53
0
To see more videos from user @ngosha_house_designs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About