jamani tuji tahidini kumcha mungu hizi zama ndozile tulo ambiwa watu tutajisahau sana namatendo ya dunia natutaiyacha akhera ewe molla wet mpenzi tupe mwisho mwema waja wako
2026-09-26 05:40:37
57
Barnabas :
you better watch your back🤣🤣🤣
2026-09-26 11:23:34
0
Laizer Sniper :
tang oct hii nch imebdilka xana
2026-09-26 10:52:12
0
victor kamaghe :
nyerere njo uone watu ulio wapambania 🤣🤣🤣🤣🙌🙌
2026-09-26 06:16:24
14
Laurent son :
nachoka mm
2026-09-26 09:02:35
0
Mj🍎🥑🍇 :
nachoka😁
2026-09-26 10:28:40
0
🇹🇿🇹🇿 Dullah 🔥🔥 :
nataman xan Nyerere angekuwepo akaona watu aliowapambania kupata Uhuru 😂😂😂
2026-09-26 10:49:19
1
C.E.O. wa magomeni :
nyerere njoo uone uhuru ulioupambania
2026-09-26 05:14:55
8
john pombe magufuli :
daaah wananchi wangu wanaaangamia kwa kukosa maalifa
2026-09-25 20:03:35
8
gyplushusein :
daaaaah ukame uo
2026-09-25 18:26:42
0
kago boy :
eeh eeh Mimi sitii neno hapo kabisa maana nikitia neno nitaaribu
2026-09-26 09:20:27
1
kapinga📿 :
YOU BETTER WATCH YOUR BACK😂😂😂
2026-09-26 07:40:53
1
🦋👄Dilkha Officials 💦👀 :
nimecheka mpaka nimefukuzwa hotelini kwa watu jmn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 20:02:48
3
Magreth Furaha :
kwani hii nayo ni teknoloji
2026-09-26 09:48:32
1
PHANY❤️🔥 :
Nini hiki😳
2026-09-26 09:07:29
0
𝔁 𝓯𝓪𝓷𝓲 47🫀 :
Hmm Kam kwel.😂😂🫣
2026-09-25 16:12:54
4
juma :
kwan kawaza nn
2026-09-25 19:21:39
2
Hashim Mlisho :
aisee!!!!! aya bhn 🤣🤣
2026-09-25 19:39:37
1
it's lily Massawe :
nashindwa kuelewa
2026-09-25 20:50:38
1
Ruderaider :
ila wakenyaaa 😂😂
2026-09-25 23:12:17
1
Esther official :
mmmmh jaman mimi nipo na mama aaah sa mambo gani ayo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 10:35:55
1
Quickz :
vijana kama awa
2026-09-26 08:04:49
1
Zainab Masasi :
hamna dogo jmn
2026-09-25 19:13:02
1
👑 CYBER 017 👑 :
nikazani wa udsm
2026-09-18 12:27:07
1
Bryson254 :
Ndy maan nchi haina maendeleo maan watu wana waza kutengeneza ndege sisi tuna waza staiy mpya
2026-09-26 11:33:13
0
To see more videos from user @yasachi.media.tz, please go to the Tikwm
homepage.