@islamicswahilinet: KISA CHA NDUGU WAWILI TAJIRI NA MASKINI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 14:19:48 GMT
17821
3901
40
130

Music

Download

Comments

user634521124
David Luis :
Am a Christian but napenda mawaidha yko sheikh🙏🙏
2026-09-05 12:27:15
6
thuwahibathuwahib
thuwahibathuwahib :
Mungu akujaalie kheri shekhe wetu
2026-09-06 04:56:32
6
inahherself
inah herself😜 :
Allahu akbar
2026-09-06 09:58:20
2
suma.marobo
suma marobo :
Allah Akbar
2026-09-05 13:36:54
1
oraphmwakasusa331
faaruk shikalo :
subhan allah
2026-09-05 08:24:35
2
yussuf7824
Yussuf78 :
SubhanAllah
2026-09-05 08:45:38
1
ndizeyesamir
سمير شعبان :
الله اكبر🥺🥹
2026-09-05 14:51:51
2
nasry.mziwanda
𝑁𝐴𝑆𝑅𝑌 𝑀𝑍𝐼𝑊𝐴𝑁𝐷𝐴𝑇z :
Allah Akibaruh
2026-09-05 11:45:10
1
ali.car.accessori
ALI CAR ACCESSORIES :
alhamdulilah.. hakika
2026-09-04 16:20:15
1
theo.d.hemmedy
Theo D Hemmedy :
Shekh Huwa unanifundisha Meng mm
2026-09-06 05:49:11
0
27035fatima
swt :
subhanaAallh
2026-09-06 03:50:50
0
user3174471251935ok
Hassani Zubeli :
Allah akbal
2026-09-04 15:47:13
1
kudratengelemu219
Qudus bey👑 :
Allah akbar
2026-09-05 17:06:36
1
chidy.boe4
RASHIDY... 4545🫡🔥 🔥 :
Takbir
2026-09-06 06:13:09
0
ramadhani6235
ramadhani :
Allah Akbar
2026-09-05 11:22:37
1
psych0867
psycho :
allah akbar
2026-09-06 09:24:05
0
user9812372619163
amza :
allah akbar
2026-09-05 06:20:01
0
ally.kb0
ally kb🤑🤑🤑 :
subuhanal
2026-09-04 20:06:31
1
djmattar
MATTAR ZE DJ 100 :
mashallah
2026-09-05 14:58:36
1
elizacrispin3
Eliza crispin👩‍⚕️💐🥀❣️🔥 :
Mungu akujaliye kheri shekhe
2026-09-06 12:40:05
0
farhiyyasalmugmail
2026-09-06 19:53:11
0
mariam.abdulla06
lastborn 🇰🇪🇶🇦❤️🙏🏾 :
🙏🙏🙏
2026-09-05 09:54:28
1
shekh6978
shekh :
🥰🥰🥰
2026-09-05 03:54:57
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About