@january5345: Kuna Hadith kwamba siku Moja mtume Muhammad s.a.w alitokea nje ya nyumba yake Kisha akaona angani kiumbe kikubwa sana. Mtume Muhammad s.a.w aliogopa sana kwasababu alimuona Jibril kwenye Hali yake halisi. Mtume Muhammad alisema; "nilitazama mbele yangu kwenye upeo wa macho Kisha sikupata kuona kingine chochote isipokuwa Jibril (yaani alijaa katika upeo wote wa macho). (Muslim) Kisha nikatazama kwenye upeo wa macho wa kulia Kisha sikuona chochote zaidi ya Jibril. Kisha akatazama upande wa kushoto hakuna kitu kwenye macho zaidi ya Jibril alikuwa mkubwa kuliko ardhi yenyewe na alifunga saizi zote za upeo wa macho. katika baadhi ya Hadith mtume Muhammad s.a.w amesema jasho la Jibril ni almasi na vito. Jibril a.s ana mbawa 600, Jibril a.s Yu hai mpaka siku Moja kabla ya qiyamah Kisha atakufa kama viumbe vyote na atapiga ukelele kwa sauti isiyo na kifani wakati anakufa ikiwa wanadamu wote wataisikia sauti yake watakufa wote lakini ikiwa walishakufa kabla. Ndio Kuna baadhi ya Hadith huzungumzia ukubwa wa malaika Hadith Moja ilisema kuwa Kuna malaika sio malaika wote kwa hivyo Kuna malaika wakubwa. mmoja wao umbali kati ya sikio lake na bega lake ni sawa na miaka 500 kutembea na Kuna malaika ambaye miguu yake ni ardhi ya Saba (7) na shingo yake imeinamishwa chini ya kiti cha enzi cha Allah S.W.T na malaika huyo huwa anafanya tasbihah na dhikr kwa mola wake mlezi (Abu Dawud) kwa hivyo mwishowe, kuna ukubwa mkubwa wa malaika na kuna Hadith nyingi juu yao. acha nikuambie jambo moja zaidi; kulikuwa na vijiji vya sodoma na gomora kipindi cha nabii Ibrahim Mwenyezi Mungu S.W.T alimtuma Jibril a.s kuviharibu cha kuvibomoa vijiji hivyo viwili Jibril a.s alivibeba vijiji viwili pamoja na nyumba zake, wanadamu, wanyama, miti, maji na kila kitu kwa bawa moja na kuvinyanyua juu sana akavipindua ardhi ikawa juu chini ikafunikwa. Hakika Mwenyezi Mungu mtukufu ni mkubwa kuliko upeo wa fikra ya mwanadamu. Basi tusisite kumpa matatizo yetu atufanyie wepesi Inshallah na wala tusimkosee na kama tumekosea basi atusamehe madhambi yetu yote. Amen 🙌🏾 Search: tumswalie mtume Muhammad s a w or...

JANUARY
JANUARY
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 14:21:42 GMT
23941
3252
118
46

Music

Download

Comments

mubashararadhwaaldufufi
ABUUKHAEDER TZ🦁 :
Allah atupe mwisho mwema na utu uliokuwa bora
2026-09-07 18:01:30
11
serialwinner08
serialwinner08 :
Muda wote Ninaposikia Sauti ya Quran tukufu moyo wang unaingiwa na kujaa aman isiyokifan Kisha papo hapo naanza kufikiria kesho yang na viumbe wote wa Allah (s.w) itakuaje yaraab
2026-09-05 20:08:31
4
dasophia72
DA SOPHIA COLLECTION :
jaman mungu tujalae tupate mwisho mwema
2026-09-10 17:51:08
2
quavo7486
Quavo :
𝐴𝑙𝑙𝑎ℎ 𝑎𝑡𝑢𝑗𝑎𝑙𝑖𝑒 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ𝑜 𝑚𝑤𝑒𝑚𝑎
2026-09-27 11:20:52
4
user7149135219339
user7149135219339 :
Ee Mola wangi nijaalie Mimi, wazee wangi na waislamu wenzangu mwisho mwema.
2026-09-06 06:22:29
6
mwaraniga
it's mwara🤐🤐 :
Allah tujalie mwixho mwem
2026-09-04 18:22:44
1
065345rajiboy
muuh og 🇮🇱🇪🇦 :
akika Allah ☝️ana tutoshe leza atu jaalie mwisho mwema🙏
2026-09-05 07:23:14
1
user4302551847381
[email protected] :
Allah atujaalie mwixho mwema
2026-09-04 15:46:54
8
usermanovina26
Manovina :
munguatupe mwishomwema
2026-09-13 07:35:28
3
shirazi.mswaki
shirazi mswaki :
Ee mola wangu nijaalia mwisho mwema
2026-09-05 16:05:57
1
idrisa.ibrahim90
keemdy dreez😜 :
yaaah allah a2pe maixha mema na mwisho mwem inshaahallah
2026-09-15 04:54:38
1
achilambo
Achilambo( JR) :
ya Allah atupe mwisho mwema Amiin
2026-09-05 10:43:50
1
ti.fan3
Tiffany saja❤️ :
Allah atupe Mwisho mwema
2026-09-09 07:07:58
2
zainabukweka
zainabukweka :
allah atujalie mwisho mwema inshallah
2026-09-04 22:23:02
1
shafii.mananasi
Shafii mananasi :
😭😭😭ikiŵ huyu malaika kafanya kaz nzito ya kutoa loho ya kila kiumbe nayy atakufa eeeh kwel mungu nitosha yafikila ya mwanadam
2026-10-07 11:57:45
1
msafiidowa
msafi idowa :
allah tujalie mwish mwema
2026-09-04 21:04:41
2
mudy4310
bin ally80 :
subhanallah alhamdulillah Allah akbar
2026-09-19 13:43:37
2
kipaso59
kipaso :
yallab nifungurie mirango iriojifumga hakika wewe ndio unaijua kesho.yangu nawewe ndie mwenyekurehemu lehemazote inshallan
2026-09-06 07:19:50
1
japhal.juma5
japhal juma :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-25 15:59:55
1
aminaadam012
yumna012 :
Allah atujaalie mwisho mwema yarraby
2026-09-05 06:45:16
1
kenge_njaa
HATIBU MASTER :
Pamoja na yote mwanaadam ndio mwenye cheo zaid kuliko wote. ila siongelei watenda madhambi maana watenda madhambi ni afadhali ya mende.
2026-10-24 09:54:03
1
pazyzulfa
pazyzulfa :
astakhafirullah
2026-10-20 20:37:39
0
khamissaid533
Khamis Said :
subhana llah
2026-10-23 16:07:14
0
suredady225
suredady225 :
inshallah amin
2026-10-23 15:42:30
0
mkoreacollectionoutft
mkorea casual outfit🛍👖👕 :
amina
2026-09-04 20:18:51
0
To see more videos from user @january5345, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Saudi Arabia's history is closely connected to the rise of Islam and the early Islamic caliphates. In the 7th century, Islam emerged in the Arabian Peninsula under the Prophet Muhammad, who unified much of Arabia before his death in 632. The Rashidun Caliphate expanded rapidly beyond Arabia, followed by the Umayyad and Abbasid Caliphates, which established major centers of Islamic civilization. Although political power later shifted to other regions, Mecca and Medina remained the most important holy cities of Islam, attracting pilgrims from across the Muslim world. Over the following centuries, the Arabian Peninsula was governed by various local rulers and regional powers. The Ottoman Empire gradually extended its influence over parts of the peninsula, including the Hejaz, where Mecca and Medina are located. In the 18th century, Muhammad ibn Saud, the ruler of Diriyah, formed an alliance with the religious scholar Muhammad ibn Abd al-Wahhab in 1744. This alliance laid the foundation for the First Saudi State, which expanded across much of central Arabia before Ottoman-Egyptian forces destroyed it in 1818. The Second Saudi State was established in 1824 but collapsed in 1891 after internal conflicts and rivalry with the Rashidi dynasty. In 1902, Abdulaziz ibn Saud captured Riyadh and began rebuilding Saudi power. Through military campaigns and political alliances, he gradually unified much of the Arabian Peninsula. On September 23, 1932, he officially established the Kingdom of Saudi Arabia and became its first king. The discovery of oil in 1938 transformed the country's economy, and commercial oil production expanded significantly after World War II. Saudi Arabia became a major global energy producer and an increasingly influential country in Middle Eastern and international affairs. Following Abdulaziz's death in 1953, his sons succeeded him as kings. During the late 20th century, oil wealth funded rapid modernization, infrastructure development, and expanded public services. However, the country also faced regional conflicts and security challenges, including the 1990–1991 Gulf War, when foreign troops were stationed in Saudi Arabia to defend against Iraq. In the 21st century, the kingdom began pursuing economic diversification to reduce its dependence on oil. Since King Salman became monarch in 2015, Crown Prince Mohammed bin Salman has led major reforms under the Vision 2030 program, promoting tourism, entertainment, investment, and new industries. These changes have expanded some social opportunities while the country continues to face international scrutiny over human rights and political freedoms. Today, Saudi Arabia remains an absolute monarchy, a major oil-producing nation, and the birthplace of Islam, with Mecca and Medina continuing to hold profound religious significance for Muslims worldwide. #History #Edit #Asia #SaudiArabia #Historytok

About