nilikua naickiliz sn kwny zenji fm radio kwny top 10
2026-09-05 10:31:36
0
Salmin Ghaid :
Dahhhhhh
TBT za kibabe
2026-09-05 16:06:47
0
binhaji :
zenji zenji zenji dh natamn kulia kw raha y hii nyimbo imenikumsh mbl
2026-09-05 06:57:15
12
@st⭐n designer :
zenj walikua na mzik mzur sana cjui ilikuje🥰
2026-09-04 21:13:29
20
Allito Lisandro :
producer Lil Ghetto sio KGT
2026-09-05 05:08:43
2
choloboybriz :
znz aloturoga sijui nani😂😂😂😂
2026-09-05 05:47:32
5
Sophy😘 :
Cjuh yuko wp uyu kaka
2026-09-05 09:43:35
2
nansijonas :
nilikuwabado kabint dah
2026-09-05 07:36:40
2
Mzizi wa Chuma :
Yaan flava ya Wazanzibar ilikuw bora sana. sijui nani aliwaroga aisee... maana mpk leo hazichuji maan ikipigwa kama mpya.
2026-09-05 11:24:48
6
Ommy Dimpoz71@gmail :
my music 2010
2026-09-05 12:29:31
1
Wilson Kabula :
yees good job,
2026-09-05 19:25:08
0
OUSMAN 551 :
hatimae leo nausikiliza kwenye sim yangu
2026-09-05 09:21:34
3
💞💕💞neyla msegu 🥰🥰🥰🥰 :
duuuu enzi izo natumwa nikamuite dadaangu
2026-09-05 10:27:19
1
𝕄𝕓𝕦𝕪𝕦 𝕁𝕦𝕝𝕪 𝟚𝟡 :
Yan nilijua huu wimbo kaimba AT
2026-09-04 19:33:24
6
Hussein Qais🇹🇿 :
J 20 🔥🔥🔥
2026-09-04 21:09:27
1
Da Ray18 tz :
2026-09-05 08:00:30
1
Salum Dotto :
kitambo
2026-09-05 09:48:54
0
Basalee :
mara ya mwisho niliachana nae Germany 🇩🇪 me nikasonha mbele
2026-09-05 12:10:39
1
Abdul Hamid :
watoto wa 2000 hazijuwi hizi
2026-09-05 16:23:17
2
kurya_brand_studio :
Nilikuwa na radio yng had leo ni nzima sony CD 3 speaker 6 hadi leo ninayo wezi walishaifata ikashindikana mamaee hii ngoma ilkuwa inagonga had nyumba michanga kitandani 😅🤣 mpenz wng jackline simbaz cjui yuko wapi now nmezeeka uchungu sana bas tu😏😏🥺🥺🥺
2026-09-05 00:12:38
4
fatmakhamis488 :
popote alipo ajitokeze basi
2026-09-05 09:44:46
2
💕Bint_Ahmed💕 :
dah kitambo😁
2026-09-05 07:32:43
1
Zabibu micko :
hu Wimbo naupenda sanaa ila sijui ameimba nani
pls nitajie jina 🥰🙏
2026-09-05 17:26:17
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.