@letsimpactmillions: Kutoka mtaani, kuajiriwa mpaka kujenga biashara iliyofanikiwa, Officially tunamtambulisha @dominic_mmasi , mwanzilishi wa @room_of_jeans, kama first guest kwenye brand new Let’s Impact Millions Masterclass 🎙️ Akiwa na maduka sehemu mbalimbali ikiwemo Kinondoni, Sinza na Makumbusho, Amekuwa akiangaliwa na vijana wengi kama inspirational, watu wamekuwa wakijufunza kwenye machapisho yake hapa mtandaoni, Huku akitikisa kwa style yake ya marketing na ukuaji wa biashara yake, Kwenye episode hii ame-share vitu ambavyo ni very exclusive, amejibu maswali ambayo wafanyabiashara wengi wasingekubali kujibu kwa uwazi, Kwenye hii episode tumeingia deep kwenye real business, kuanzia: • Maisha kabla ya biashara • Kutoka kwenye ajira kwenda biashara • Jinsi alivyopata business idea • Jinsi alivyopata mtaji • Branding, marketing & customer acquisition, • Social media & business growth • Business expansion & scaling • Stock management & supply chain • Cash flow & financial management • Business vs personal finances • Challenges, mistakes & lessons • Investments nje ya biashara • Decision making & risk taking • Personal branding & networking • Work-life balance, social life & relationships Na mambo mengine mengi sana yatakayofanya ujifunze in and out za biashara, Hii podcast kila dakika ni point ndio sababu tumeipata hadhi ya kuwa masterclass na kuwa episode ya kwanza baada ya mabadiliko ya how we show up, Na sio tu how we show up kuna mabadiliko mengi sana yamefanyika humu ndani ambayo utajionea mwenyewe, Information ambazo brother Dominic ame-share kwenye hii podcast sio information ambazo zinaweza kupatikana hapa online kirahisi, Tena kupatikana for completely FREE, Hii sio theories, Ni real experience, real lessons na real business. Na ndio maana tunasema: This is not just a podcast - it’s a FREE masterclass. Kesho saa 16:10 tunakutana hapa 🎙️ Comment, repost, share hii post kwenye story yako, share na rafiki yako, na mtumie mtu ambaye unajua anapenda kujifunza na kupata real experience, Hii ni zaidi ya podcast, Our mission is to impact millions.

Letsimpactmillionspodcast
Letsimpactmillionspodcast
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 14:41:23 GMT
17459
1236
45
66

Music

Download

Comments

prettysure.classi
I'm husna :
i catch 🫴
2026-09-05 06:16:09
0
spk450_drip
SPK450 drip :
you never disappoint us
2026-09-04 17:06:32
0
amani.chikuyu
Amani Chikuyu :
This is the most effective form of education 🫡
2026-09-05 05:10:29
0
grandson_joel
Grandson_Joel👑 :
Nisinge kuwa CEO ungenialika..?🙌🙌🫡
2026-09-04 22:21:46
4
elison_tech
elison_tech :
The phrase “ mimi sipokei rushwa , hujakutana na rushwa “ 🤌
2026-09-04 14:50:01
15
maguisratv
MAGUISRA TV :
podcast ya moto sana high quality
2026-09-04 20:04:13
1
mathayomombo8
Dr#Matthew :
Inakuwa uploaded lin hii kkaa
2026-09-04 22:52:37
1
badderboss
content striker :
movies
2026-09-05 05:06:32
0
simonkipeleka378
Simon Kipeleka :
intro ya kweli kabisa more cinematic
2026-09-05 08:01:26
1
lucasgaston034
G.Perfect Look :
Room of Jeans ana madini sana sichokagi kumsikiliza aise
2026-09-04 19:38:57
3
agnesmkumbo98
Mama BLESS⛪🇹🇿 :
"Waoo nisiku sana hujapost hii kitu.!, inanipaga moyo sana wa kujifunza jinsi ya kujitafuta!.
2026-09-05 06:02:05
1
alb3rto68
Alb3rto✨ :
mualikeni na taivina kwa sisi wakamalia
2026-09-05 09:37:26
0
trecy2081
t.r.e.c.y20🦋💜 :
Hii ipo hot sana inaonekan🔥🔥
2026-09-05 05:31:37
1
bigokhan_pluto
it's Pluto🤍🇨🇩 :
Moja ya kitu nilichokuwa nakitaman mkutane ma genius Big up bro
2026-09-05 09:14:30
0
shafii_moh
kumpita_ :
hii 🔥🔥🔥
2026-09-05 07:40:20
0
77_machuwa
𝓡𝓸𝓾𝓼𝓮🎀 :
BONGE LA INTERVIEW 🙌🙌🙌🙌
2026-09-04 22:43:59
0
littlerabbit360
METLUX UNLOCKED :
Rushwa iko dunia nzima🔥🔥🔥
2026-09-05 05:11:29
0
iamericx
iamericx🥷 :
Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-04 17:13:18
1
charlzmica
Charles Mica :
much respect @room_of_jeans
2026-09-04 20:06:36
0
ipyaso
janja :
video idea
2026-09-05 09:30:52
0
ayman_b_m
AYMAN Lastborn 🫶🙏🥰 :
Biashara rahisi xn ukihadithiwa jmn 🙌🙌🙌
2026-09-04 22:26:31
0
gesisi_jr036
gesisijr036 :
hii nayo inaonekana ni 🔥🔥
2026-09-04 20:23:43
0
hakim.11.22.99
Bunzari Jr :
half billion bro.....
2026-09-04 21:54:10
0
orderblocker
Mex :
Hapa sasa
2026-09-04 15:29:20
0
To see more videos from user @letsimpactmillions, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About