@ndambo_17: Watu wanne wamefariki dunia na wengine 12 wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Costa na lori aina ya Scania Mabadaga, Mbarali #Ajali

Pascal Jordan Ndambo 🧎‍♂️
Pascal Jordan Ndambo 🧎‍♂️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 14:46:12 GMT
24380
899
79
32

Music

Download

Comments

userizzyww
dogo r5 :
pole san
2026-09-05 09:08:26
0
1campala
Freddy one campala :
daaah polen sana nilikuwepo kwa ajali hiyo hakika ni neema ya mwenyez mungu
2026-09-04 20:11:57
12
s_finetz
S_fine Tz :
tunashukuru mungu majeruhi wanaendelea vizurii
2026-09-04 21:19:28
3
telezia.jackson
it's me😊 :
eee mungu weee tuepushe na hiz ajari
2026-09-05 07:13:43
2
marympango_
miry@ :
Munguu wew Kimbilio letu tuepushe na hizi hatarii Daaah😭😭😭
2026-09-05 03:15:52
5
zakia.abdu2
Zakia Abdu :
nyie shetan ameshindwa kwakwel 🙏🙏
2026-09-05 02:52:11
1
user6955568567515
momy :
wapi tena
2026-09-04 20:22:04
1
priscarkab
prisca :
ee yes wakumbuke waliokweny matibabu na pia waliofariki laa ya mm Lele uwape ee bwan na mwang WA milele uwaangazie wapumzk kwa aman na pia uwe faraja kwa wrote waliofikiw na misiba hiy
2026-09-04 20:03:34
3
grand_theft_aggrey_gta
Aggrey Kilembe :
Ila Vyombo vya Habarii 🙌🙌
2026-09-04 21:47:01
0
jesscaa37
jesscaa🌸 :
Tarehe Ngapi
2026-09-04 18:01:55
0
allytheboy1
allytheboy1 :
polen jamanii munguu awafanyie wepesii
2026-09-04 20:28:53
0
user3174093839233
pacha khalist og :
mungu wangu wasaidie wote wanao safiri
2026-09-05 00:48:38
0
sashahmwangoka
sasha cuty :
mwenyezi mung nimkubwa
2026-09-04 20:20:20
0
user55508353607036
Jack :
madereva watatumaliza hawaaa
2026-09-04 20:59:32
0
homeboy1498
yuzzo 198 :
dah mung waponye awa
2026-09-04 20:58:12
0
danny.msanga
Danny Msanga :
polen
2026-09-04 20:22:11
0
momy.dida1
Didah cute🥰🥰❤️❤️ :
Pole sana
2026-09-04 19:57:39
0
marympango_
miry@ :
poleni ndugu zanguu
2026-09-05 03:16:09
0
lydia.rweyemamu2
Lydia Rweyemamu :
😭😭😭majeruhi poleni Mungu awaponye
2026-09-04 20:42:51
1
user7437400883578
Rbyct💦 :
Mungu wangu naomba nilindie wazazi wangu mimi mbeya
2026-09-04 20:39:09
1
monalisamwakyelu
Monalisa🦋 :
Pole jamani nimeona kuna mtu kichwa kimepasuka😭
2026-09-04 19:50:12
1
kalenfungo
kalenfungo :
Mungu awatie nguvu
2026-09-04 19:44:53
0
vaileth.joseph1
Vaileth Joseph :
mungu afanye wepes
2026-09-04 19:55:23
0
user48276686152933
Monicca beautiful lounge :
Poleni sana
2026-09-04 17:48:47
0
mrsmomkola8
Mrs mo mkola.og :
pole jaman wa nyumban dah😭😭😭
2026-09-04 19:34:42
0
To see more videos from user @ndambo_17, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About