@upendo.r.centre: ❤️ Asante St. Michael Archangel Pre & Primary School – Mtwara kwa kuwatembelea na kuwasalimu watoto wetu. Tunathamini sana moyo wenu wa kujitolea. Tunawatakia mtihani mwema na kila la heri katika mitihani yenu! 📚🙏❤️ #StMichaelArchangel #UpendoRehabilitation #ExamSuccess #ChildrensSupport #DisabilityIsNotInability
UPENDO_REHABILITATION_ CENTRE
Region: TZ
Friday 04 September 2026 15:15:25 GMT
Music
Download
Comments
official veronica :
tuliotoa machozi tujuwane jamani au ni mimi tu?
2026-09-04 17:29:42
523
Nancy regnald :
Mimi mwenyewe nimelia uwiiiii 😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌
2026-09-04 19:31:25
38
Fatima Hamis kingube :
dah jmn amejua kuomba mtt
Mungu amuondolee maradhi😭😭
2026-09-04 18:01:25
78
Sweetfaa Mustapha :
Mashallah mashallah nawapenda wote 🥰🥰
2026-09-04 22:21:10
0
mama ibra :
huyu mtoto jamani anamoyo wa shukrani sana Mungu amtunze na ambariki sana
2026-09-04 17:27:36
278
Mom Eugen ❤️🥰 :
mtt amejua kuniliza jmn ila amebarikiwa sana
2026-09-04 18:03:13
133
Butterfly 🦋 :
I see pure love from his prayer aiseee🥹🥹❤️❤️
2026-09-04 22:28:04
0
SweetNova 💘💘 :
ooh my Gosh this touches me🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
2026-09-04 21:52:16
0
prinsesymery d k supa❤️❤️❤️❤️ :
mmh hadi mwili umesisimka jamani mungu mimi nnamengi nahitaji ila anza huyu baba anaupendo sana😢😢😭😭
2026-09-04 16:33:42
65
JOX KHAN🇹🇿💦 :
broo nimelia broo😭
2026-09-04 20:13:48
0
Lucy Mwakitalima :
Alooo inaumaa sana mungu awabariki sanaa kwa mlichokitoa
2026-09-04 17:39:56
24
💙It's Clotilde 🦋❤️🩹 :
Oh Lord, I cry 😭😭
2026-09-04 21:59:07
0
Nuru Laizer :
ahsante upendo kwa malezi mazuri kwa watot wazur
2026-09-04 16:58:56
47
Gisella :
Emungu umuondoley ulemavu na akwe mzima Kwa jina la yesu Ami
2026-09-04 17:20:15
77
Jackboe :
God is Great
2026-09-04 21:52:20
0
Queen Geoffrey 👸 :
umeniliza mwanangu
2026-09-04 16:22:18
10
Angie :
😭😭😭 Mungu awabariki😭😭
2026-09-04 16:59:05
7
Ms llen❤️ :
Ana moyo wa kushukuru🥺❤️mpak nalia jamani Mungu awatunze ❤️
2026-09-04 17:11:01
13
Judy👄🦋🥰 :
Mungu awabariki sana🙏
2026-09-04 16:04:27
7
merinankullua :
nimejikuta nalia kwa kweli
2026-09-04 17:14:48
6
naompeter :
natamani sana kuwa mtowaji, moyo wangu huwa unatamani mno lakini mungu bado hajanibariki, najua ipo siku nitafanya moyo unacho tamani
2026-09-04 17:13:25
15
daa zai :
mtt wabalaka jaman nakupenda haki🥰🥰
2026-09-04 16:52:52
16
neybabymom :
nimejikuta machozi yananitoka nikimuona huyo mtoto alafu nikimwona na mdogo wangu namini nae hiposiku atanyanya
2026-09-04 18:46:17
40
Magdalena paschal :
🥰🥰🥰🙏🙏🙏 mungu awe nayi Kwa mlicho toa😞😞
2026-09-04 15:29:43
11
To see more videos from user @upendo.r.centre, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.