@mr_mooh_: Tunapatikana Mwanza Mtaa wa Salma Cone Tunauza Mandi & Biryani Tamu Juice za matunda halisi Kila siku ya ljumaa kuanzia saa 6 mchana. & DELIVERY IPO #fyp #mwanza #fyp

mr_mooh
mr_mooh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 15:32:24 GMT
49984
1963
86
456

Music

Download

Comments

neemaanthony861
Neymar Investment💪 :
kwani mandi ndo nini msinifokee lakn jmn🤣
2026-09-04 18:42:52
7
johhy21
johhy21 :
Ila mwanza Mandi kisamvu na utumbo kidogo pembeni
2026-09-05 16:34:32
5
tanzaniamovietallent
TMT :
weka bei ili tuje tunajua bei mkuu
2026-09-05 06:49:29
1
marthagodson6
martha godson :
nimrpanga sana folenii hapo😂😂😂😂😂😂ana chakula kitam balaaa
2026-09-04 20:11:40
2
lovemwasha
loveness mwasha❣️❣️ :
wapiiii
2026-09-04 17:03:46
3
user5131636007210
MISS LIZZY♥️♥️💦 :
ni bei gan kipenzi tatizo bei hamtaji
2026-09-05 08:53:36
1
koku255
koku255 :
tofauti na huo wali Kuna nini kingine
2026-09-05 11:17:42
2
baby.girl75604
Baby girl🍎❤️ :
Amjaweka namba me naitaj
2026-09-04 18:45:21
2
yusuphjumanne848
yusuph jumanne12 :
mnapatikana mwanza sehemu gani?
2026-09-04 20:23:32
3
hegatvibes
Nothing new :
Kila siku unakosea kuandika location
2026-09-04 20:36:13
1
mukipenzi1
mukipenzi :
namba ya simu
2026-09-05 17:21:42
1
rably7
rabby💫❤️ :
sehemu gani
2026-09-05 08:52:38
1
khajirati.simwing
Khajirati Simwinga :
Mwanz sehemu gani
2026-09-05 07:29:24
1
halimaguta
halimaguta :
mwanza mkoa
2026-09-05 06:23:18
1
kemsuleiman
kem :
je vp tena na mnasema wa zanzbr wameregea kwa kula wali
2026-09-05 13:43:17
0
bi_rehema
Bi_rehema :
Mandi na kisamvu😂😂😂😂
2026-09-05 14:09:45
2
its_gabriel22046
Tenacious💎 :
mtaje bei sasa
2026-09-05 15:40:49
1
jasminifred
jasminifred :
sehemu gani hapo mwanza jaman
2026-09-05 13:29:06
1
user8234842738820
user8234842738820 :
upo vizuri dadangu
2026-09-04 20:01:59
1
jazil011
jazil@@ :
bei gan
2026-09-04 17:21:56
1
winga_uarabuni_2019
winga uarabuni :
tunakuja
2026-09-07 16:57:19
0
lovenesskimaro52
filove :
chakula cha Aunt shuu kizur sana
2026-09-07 10:48:24
0
user370530649
Ahmed Mohamed :
Shngap
2026-09-07 08:54:22
0
sumy3515
Sumy♥️ :
Mandi ya hapa ni tamu balaaaa🔥🔥🔥🔥
2026-09-04 21:55:21
0
To see more videos from user @mr_mooh_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About