@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #contentcreatorinsightsin2026 MARIA ni mtoto mwenye kipaji kikubwa cha ACROBATIC kutoka Iringa. 🤸‍♀️🌟 Anaomba support kutoka kwa wadau, waandaaji wa matamasha, sherehe na majukwaa mbalimbali apewe nafasi ya kuonesha kipaji chake, ili aweze kuwafikia watu wengi zaidi na kukuza ndoto yake. Tukipeana nafasi kwa vipaji vya watoto wetu leo, tunajenga kesho yao. ❤️ Kwa yeyote mwenye jukwaa au tukio ambalo Maria anaweza kupewa nafasi ya kutumbuiza, tafadhali tuungane kumfikisha mbali zaidi. #SupportMaria #IringaNyumbani #VipajiVyaWatoto

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 16:01:37 GMT
22775
843
34
20

Music

Download

Comments

faustarsechahe
faustar :
Hongera kwa kipaji kizuri MUNGU akupe kibali cha kutambulika🙏🥰🥰🥰🥰
2026-09-04 17:09:01
8
sangacopper
sangacopper :
mimi naweza nipo iringa isimani mkungugu stendi
2026-09-04 18:30:55
5
user3438510853024
handmade with kababy's :
aaaamin kipenzi
2026-09-04 17:09:49
4
user3438510853024
handmade with kababy's :
@𝓓𝓸𝓽𝓽𝓸 𝓶𝓪𝓻𝓲𝓪🇹🇿
2026-09-04 17:28:40
2
mariethamsuha910
marietha msuha :
kawaida sana huku watoto wafanya niliko ila tanzania kilakitu nikukuza tu
2026-09-04 18:22:14
2
user14036026583707
nangale mmz :
🥰🥰🥰
2026-09-04 16:19:54
2
user9954753150242
ELIZABETH CHACHA 96 :
hngera sana mwanetu
2026-09-04 19:51:37
1
.mdemu
🌚🌚🌚chief :
Mungu amubariki sana mdogo wetu watu wa Iringa tumsupport huyu kijana wenzetu
2026-09-04 20:25:30
0
elia83514
elia :
2026-09-04 17:47:12
1
the.seer480
Alfa Love Foundation. :
Mimi sa ii ningekuwa moi🤣
2026-09-04 17:43:50
1
maja.boy739
maja boy :
🥰🥰
2026-09-04 17:43:05
1
user1992158381065juma
Juma Halifa :
saf sana
2026-09-04 17:39:51
1
japhacanjaphary
Japhacan Japhary :
naweza na mimi
2026-09-04 17:17:46
1
ramadhankassim84
ramesh0772926616 :
Iki sio kpaji
2026-09-05 09:41:28
0
rashmii1203
Rashmii :
Binti yangu pia Ana hicho kipaji
2026-09-05 06:30:14
0
its.a.ka.ma
🧨 belFour4🧨 :
uyo niki mpata kwa mamb ya chumban safii san
2026-09-05 06:12:19
0
ani482460
Ani :
atakae muowa huyu atafaidi wewe sitairi zote hizo atapewa Hadi atakimbia mwenyewe 🤜
2026-09-05 06:07:20
0
hdhddhhehw8
Khalfan Mkerewe :
nikzan muembe togwaa dar
2026-09-05 05:53:24
0
user2592118157670
edward :
c
2026-09-04 20:57:11
0
naah.pretty03
👑 Naah pretty 👄 :
me enyew kimoyo moyo nampita
2026-09-05 11:41:39
0
furahasanga512
khushi kumar :
npo irnga ilula kipaj chang kikubwa ku mliko unansaidiaj apo☺️☺️
2026-09-04 19:31:29
0
victoria.dachi
sis patience :
😳😳😳
2026-09-04 19:03:32
0
kokolo462
user95979331230417 :
💯💯
2026-09-04 18:48:01
0
user1822514519805
user1822514519805 :
Nyie mbonaa vipaji kama hiva! kwa wsbongo ni wengi sana mm nashangaa ssna kwahuo mshangao wako
2026-09-04 18:38:44
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About