G vanny :
nimegundua kile ambacho nilikuwa nakihisi kutoka moyoni ndo chenyewe, bro chumvi unaumiza kichwa sana juu ya Tasnia hii, na pia unatambua uwepo wa rijendi wa tasnia hii ya sinema, huo ni upendo mkubwa ulio nao mungu apokee maombi na machozi unayotoa kwaajir ya maendeleo ya Tasnia hii, kuhusu msaada wa " MAMA" Kanumba ukwer binafsi yangu nimeinjoy kuona unaongea maneno ya uchungu sana, ukwer ningekuwa nishafika pale amabapo moyo wangu na akili yangu na ndoto zangu zinapopafikilia, basi ningefanya kitu kikubwa ambacho kingewagusa watu wooote hapa nchini hata nje ya nchi, bro chumvi wakati upo chini ya mtu ulifanya kazi ya sinema ukiwa na nidham kubwa na machungu ya kazi ya maendeleo ya Tasnia yetu, pia baada yakuanza kujitegemea naukufanya kazi zako ulisimama kidede kuwaoonyesha watanzania kuwa unaweza,but now kuna tofaut kidogo, sio kwamba umeishiwa ubunifu wala kuna shida kubwa ulio nao no. bali nichangamoto ambazo kila mwaandaji wa sinema huwa inamkuta, kaka usikate tamaa hata siku moja nenda ndan kachukue magwanda na vifaa vyote vya kivita uingie vitani kumekucha, mimi mdgo wako ndo naanza, nipo chini ya mtu kama wewe ulipoanza, najifunza vitu vingi mno kutoka kwako na waandaji wasinema waliotangulia, so mpango nilionao kwenye hii Tasnia Mwenyezi mungu ndo anayejua binadam hawez jua, Asante kaka kwa kuongea point kubwa kwajiri mama yake Malehem stivin kanumba mungu akubarik, huu ujumbe sijakutumia Dm kwa upendo na heshima na shabiki zetu pia nimeandika kwenye comment ili watu wajue ulichokiongea uko sahihi ASANTE🙏🙏
2026-09-04 18:54:55