wat about dreaming with an aeroplane ✈️some times falling down then get repaired and fly again wat the message 🙏
2026-09-07 16:21:30
1
Kaila :
mm naota ya mtoto na nyingne naotaga naomba uku nalia sanaa yaan kama kwa uchungu
2026-09-21 11:29:57
0
@cate natez 🥰🥰 :
na kama nimeota mtoto amekufa tuko Kwa Kaburi tunataka kuzika
2026-09-08 05:05:02
1
Jocelyn Kwizera :
ukiota unaona mtu kwandoto anakukata nywele inamana gani
2026-09-10 13:53:33
1
mamisakiza :
aaaamungu weeee iyi ni kweli kabisa
2026-09-07 13:00:28
2
uchizi145 :
mm hii ya shule ad jana nmeota yan
2026-09-08 07:45:55
2
miss cindy 💚💚🥰🥰 :
what about nyumba kuchomeka aki pleas niambie 🙏🙏
2026-09-04 16:48:03
1
Linah Ibrahim :
Mi nimeota nimetapika sana
2026-09-21 07:35:27
0
humble gal :
what about visitors
2026-09-19 13:36:24
0
kemmy :
what about kupanda grains?
2026-09-04 17:30:17
0
It's G🥰🤪 :
duh nimeota napanda mbegu wakati nachimba shimo la mbegu ndani ya shimo nikaona mwanga wa blue mmh nikashangaa gafla yakaanza maporomoko nikaanza kukimbia VP khs hii
2026-09-05 06:35:34
1
mauwa :
niliwahi kuota nalia ndoto ilijirudia mara mbili
2026-09-06 15:02:44
0
Judy Jidenna Judy :
Nakucheka je!?
2026-09-19 05:48:42
0
kim nah ACCESSORIES :
kuimba
2026-09-13 19:59:31
0
De france :
me niliota nampelekea raisi a sign check ya hela
2026-09-18 19:55:00
0
Daudi Vicenti :
jamani kama mimi kila siku naota nakula chakula tu
2026-09-11 15:34:12
0
Daisy Lydiah :
Amen
2026-09-14 18:40:28
0
febby :
nisaidien nimeota ndoto maporomoko yametokea watu wanakimbia hovyo afu me mwanangu simuon nimebak nalia tuu watu wananisukuma ,jamn nimelia mwanangu 🥲
2026-09-17 08:15:29
0
aminata :
mm nikiotaniko shule ambayo niliwahi kusoma nikiwa mdogo tukapewa hesabu nikafeli xote
ukiota unamimba na Kila siku mdogo inajirudia inamaana Gani jamani?
2026-09-07 17:58:27
0
fatumaissa2 :
mmh nimeota ucku moja mara 2 ya kwnza watu kibao wamecmama barabaran lkn kw kuachiliana yengine nilibeba dawa ya nywele nikasahau njian gafla likapita kundi la watu ile dawa niliitafuta ckuiyona tena
2026-09-09 11:47:23
0
lizymone :
kuota na nywele ndefuu nzurii
2026-09-10 10:56:38
0
Reen Gabuu🇰🇪 :
nakuota na number 62
2026-09-12 10:48:44
1
Reen Gabuu🇰🇪 :
na kuota na color purple 🟣
2026-09-13 19:00:48
0
user1252214145006 :
Kuota nalia na nikiamka najikuta nalia jweli
2026-09-05 06:49:34
0
To see more videos from user @mercelinahke, please go to the Tikwm
homepage.