Imani bila matendo imekufa nafsini mwake ....
simpingi ila bila Imani huwezi kufanya jambo
kuna wakat wa kuomba na kuna wakat wa kuchukua hatua kimatendo...huwezi kukazana kuomba mume/mke bila kuendelea katika matendo kutafuta huku ukiomba MUNGU....
2026-09-07 19:39:18
1
Neema God's kingdom promoter :
hii ndio injili isiyo changanywa na kitu chochote
2026-09-04 17:19:54
15
Mara Mara :
yes damu ya YESU INANITOSHA KTK VITA YOYOTE SITAKI UJINGA MM
2026-09-05 07:31:35
4
Carneiro yanga :
Tufundshe baba tupone
2026-09-08 08:49:39
1
solanji :
2026-09-06 10:30:31
2
jephter ndaki :
baba ubalikiwe sanaa
2026-09-05 10:43:01
3
Dr catty_ healthsolution :
Mungu tusaidie 😭🤲
2026-09-06 12:13:55
2
k :
kweli kabisa Amina
2026-09-06 21:06:39
1
Joehmaker@# :
HII UKWELI..INAYO TUWEKA HURU...
YAAN HADI MAVI YA UPAKO YATAKUJA.... PASTOR....
ONLY HOLY SPIRIT IZ ENOUGH 👌🏼🔥
2026-09-10 19:56:18
2
user1016741239629 :
Amen 🙏
2026-09-08 08:51:39
1
rehema :
Amina baba
2026-09-04 19:05:32
0
pastor Zauni :
Asante Mwalimu
2026-09-06 19:01:05
1
winnaral :
Safiii
2026-09-08 05:39:22
1
Morice :
[Sticker] 🙏
2026-09-06 08:39:57
2
Aaron Laizer :
Babaaa.. unanena ukweli mno
2026-09-07 04:29:21
1
valentino ibrahimu001 :
Amina
2026-09-04 18:45:34
0
Tony255🇹🇿 :
Hakika
2026-09-07 18:03:05
1
firstladyafrica :
fact. Hii ndio injili ya kweli . Mungu atufunulie kweli zaidi ili kutupa kiu ya kumtafuta
2026-09-11 02:42:02
1
josephmushi608 :
Ameniiii
2026-09-06 06:33:53
1
Irene Mollel :
Ameni...Baba Mwalimu ni kweli Maombi ni kinga tena ni silaha yakushinda yote na bila Maombi Roho mtakatifu hakai kabisa MUNGU atusaidie tunapofundisha na neno la MUNGU na Wachungaji na Walimu yatupasa sisi kujifunza kujiombea wenyewe Ibada ya maombi na maombezi nakupenda kutamani sana neno kwa kusoma Biblia nakushiriki katika ibada Ameni..
2026-09-06 18:46:35
2
inno shombey :
Eeeemeeeeen
2026-09-04 16:39:06
2
officialtumaini sulle :
Nakupenda mtumishi
2026-09-05 09:54:51
1
Leey Merly :
sema baba tupone
2026-09-05 15:16:43
1
yohana :
saw mwalimu mungu akubarik sana
2026-09-06 16:48:41
1
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm
homepage.