@.samyskincare: ✨ Glow NestHydrated Facial Toner Kazi yake kubwa ni kusaidia kuondoa uchafu kwenye ngozi na kuimarisha skin barrier. Pia huiandaa ngozi yako kupokea vizuri products zinazofuata kwenye skincare routine yako kama face serum, na sunscreen. 💦✨ Kwa hiyo, baada ya kusafisha uso wako, usiruke hatua ya toner. Hakikisha Glow Nest Hydrated Facial Toner haikosekani kwenye skincare routine yako. 🤍#viral #fyp #toner

Samyskincare
Samyskincare
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 16:09:34 GMT
1815
54
2
5

Music

Download

Comments

hajraaaaa.t
hajraah :
kenya unatuma
2026-09-07 21:54:58
0
maryjinniphar
maryjinniphar :
nataka leo mpo wapi
2026-09-11 05:13:30
0
To see more videos from user @.samyskincare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About