kweli yako wengine wanaongea wasichojua wanakera sana
2026-09-04 18:40:35
7
mohaa :
Tumia lugha yenye heshima sheikh 'kubweka' acha kutumia hasira kwa kuelimisha ummah
2026-09-05 04:15:32
2
Amani Giyam :
Twendeni taratibu Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu 🥰
2026-09-05 02:56:07
4
user4117327162530 :
navipi kuhusu bilali,mbona mmesahau au sio swahaba
2026-09-04 18:59:30
1
daaa tuuu :
mashehe wengi saiv jmn mthn
2026-09-04 17:43:15
3
hassangweli :
wanakera san
2026-09-04 18:21:17
1
zay✅ :
eti kerer akuna sauti nzuli duniani kam adhana aipo
2026-09-05 03:45:27
0
one day yes 🤲🕋🤲mambo :
wakati wa mtume ilikua hakuna stima Wala spika
2026-09-04 18:40:13
3
chino :
kwan na huyu ni shekh
2026-09-04 18:14:56
0
Idi Golicha :
Mashallah mm nko Kenya huyu Sheikh anaitwa nani?nimtafte kwa you tube
2026-09-04 19:10:22
3
suma marobo :
Allah Akbar
2026-09-04 21:20:59
1
hafeez :
innalillahi waina ilaihi rajioon
2026-09-04 19:06:54
1
user9835816205682 :
na daresa za usiku bila kuzima spika
2026-09-04 20:26:11
1
Ali Ahmed :
Kwani kuna makosa kumkumbusha mtu
2026-09-04 18:35:08
1
madam latty :
wala hakuwahi kukataza kuamshana
2026-09-04 19:55:11
1
chameleone3 :
na wala hakukua na speaker ukienda nchi za kiarabu unasikia adhana tu bas hatusikia wakisali na mengineo
2026-09-04 21:40:20
1
Msese jr :
in'nalillah wain'na ilayhi raaji'un
2026-09-04 18:36:52
1
Abdallah Akida :
duh sasa shida iko wapi sahii watu sahii mioyo migumu mpaka wakumbushwe .usingizi ni mizito lahaula walakuwata ila nillah sio kila kitu kiwe kimefanywa na mitume yaarab .
2026-09-04 22:09:10
0
Teresia Paulo :
sana wanakera sna
2026-09-05 04:52:46
0
mahamud :
sasa jiulize swali je bila khakufanya iv pia kuna mambo mangapi ambao ya kelele hamusemi iwe kuamsha watu swali swali sekunde ndio Zambi namba majibu ya hao maswal
2026-09-05 05:14:03
0
𝓑𝓪𝓻𝓮𝓼𝓽𝓪✍️✍️ :
mbna mnapingana tena🤣🤣
2026-09-05 05:16:31
0
Irshaad :
naunga mkono kabisa,
kwanza wanatumia maspika yenye sauti kali sana kuanzia saa tisa na nusu usiku.
Mambo mengine ni bidaa tu
2026-09-05 04:33:44
1
Koba Salum :
Allahu akbar, ukumbusho bora kabisaa. maana sasa hivi misikitini badala ya kusoma adhana wao makelele tuu. na adhana inatosha Kuwaita watu kwenye swala