@meshack.trywell: Hivi ndio vitu vya msingi ambavyo ukivizingatia wakati wa kuchagua location wa mlango wako wa biashara, utaokoa hasara kubwa apo badae. #wafanyabiashara #wafanyabiasharatanzania #biashara #biasharaonline #biasharatiktok #startupbusiness #elimika #jifunze #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral #trend #foryoupage #fyp

Meshack Trywell
Meshack Trywell
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 16:29:57 GMT
58522
2673
89
149

Music

Download

Comments

chimbo_la_nguo_arusha
Merlah Collection :
Hizi fact kabisa 📌
2026-09-05 05:46:42
5
queenkapinga156
Queen Kapinga :
nitakutafuta mkuu kuna kitu unisaidie
2026-09-05 03:42:03
4
mpinaelikana
elikana mpina :
kwanza hakuna biashara ya pekee ako, kila biashara unayotaka kufnya ilishafanywaa na inafanywaa na wengine kikubwaa ni vile2 ww unaingia na mbinu zip katika hyo biashara, pili wengi walioingia kufnya biashara kwa kutanguliza hofu walifel kabla ya kufungua biashara hyo,tatu biashar huambatana na iman kubwaa sana juu ya kile unachoenda kufnya, la mwisho amin ongeza juhud onyesha otofaut lakn kuwa mbunif na biashara yako lazima utoboe.
2026-09-05 09:02:04
29
moreenfelluzy
moureenfelluzy :
Ahsnte kaka 🙏 ndo kwanz tunatak kuazia biashara so Kuna kit nimejifuza Ahsnte kakaangu 🙏
2026-10-05 12:56:21
1
user3392613549810
mamyIfi✨🦋 :
aiseeeh.. mungu anisaidie mm
2026-09-05 05:21:23
5
vee30158
Clara kids store👗🛍️ :
Tuishi nayoo🙏🙏🙏
2026-09-04 18:58:58
5
big.brother8446
big brother :
baba s tnalipa na mauzo tutajua hko hko mungu mkubwa ndo naenda kulipa hvo
2026-09-05 11:56:47
5
user862308697
Hezron Aidan :
makin sana
2026-10-09 13:33:41
1
veeafricaglam
@Vee Glamor Line 🇹🇿🎨🧶 :
me naomba no yako. kunakitu naona utanisaidia, unanifaa 😁😁
2026-09-05 08:30:23
2
cute.lizzy07
💍cute Fathiya 😍 :
mm ata sijui nifanye nn jamani
2026-09-05 09:28:33
1
nisile02
Nize charm :
fact 👍
2026-09-10 10:24:40
1
mkapamumbee
mkapa mumbee :
kuna ktu nmechukua hap👏
2026-09-05 08:02:47
2
shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-05 15:17:52
2
kinyange123
kinyange collection&cash point :
kaka umeongea point
2026-09-16 13:22:29
1
nasanplusbeauty
NASAN+COSMETICSMOROGORO :
Uhakika
2026-09-05 08:35:26
1
keshenlemy
kezzo :
kwer kbs 🫡
2026-09-10 14:21:26
1
mwanaoutfits391
Mwana-outfits🛍️💃👗👜 :
Love ue
2026-09-07 20:57:36
1
sweetbetty20
sweetie❣️ :
fact
2026-09-05 12:27:31
1
zavelle.tz
Shopzavelle :
Meshack📌
2026-09-05 08:21:39
1
nah406
nah :
2026-09-07 15:28:53
1
rojjah45
Rojjah tz 🇹🇿 :
Na ukitaka kuchanganyikiwa Anza biashara 😂
2026-09-18 20:06:59
2
gift.giftgift1
✨official gifty✨ :
lkn sokon Kila mtu anauza nyanya na na waanauza muhim n maombi
2026-09-05 16:24:39
2
jovitha.haule5
Jovitha haule :
🙏🙏🙏
2026-09-05 16:26:10
1
steven.library4
🔇STEVEN_SENIOR📱 :
saf sana kaka nimekupata vyema✌️
2026-09-05 08:33:23
1
dotto8874
dotto :
ngoja nikufollow kabisaaa mda hautoshi
2026-09-05 06:20:22
4
To see more videos from user @meshack.trywell, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About