@mjomba.nzala: jinsi ASKOFU KAKOBE Alivyotoa Siri 12 za UCHAWI wa MWAMPOSA. #mwamposa #kakobe ##uchawi #mwigulu #simba #yanga #azamsports #kenya #tanzaniatiktok🇹🇿

MJOMBA NZALA
MJOMBA NZALA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 16:59:59 GMT
73258
1352
123
138

Music

Download

Comments

happinessmasai
Happiness Masai :
Bado amjasema Mwamposa is the One Only 🙏🙏🙏🙏
2026-09-05 18:17:30
0
user7608003805972
yustin severin :
niacheni natumia maji na mafuta na mambo yangu yanaenda
2026-09-05 15:10:17
8
jaji7756
Jaji :
hivi ni kweli kuna mtu anayeuza maji ya 1000 kwa laki moja jamani kama ni kweli basi Mungu turehemu
2026-09-05 07:42:02
10
melissachioma
Melissa chiomma🌻🌻 :
Ila wivuuu jmn 😂wivu mbaya sana aliepewa kapewa tu Kila mtu atumie karama yake Mungu aliompa
2026-09-05 09:34:49
6
esther.richard434
Esther richard :
Kila mtu akae kwenye kituo chake tunausubiri Yesu aje aamue
2026-09-05 09:04:57
4
roida.malekela
Roida Malekela :
watu wanakimbiza miujiza lakini kulijua neno la Mungu hawataki
2026-09-05 14:13:32
6
obadiamtafya
obadiamtafya :
mtuachie mwamposa wetu
2026-09-05 13:20:19
4
amonanatory867
Amon Anatory :
hii ni vita na washindi ndo sisi
2026-09-05 12:03:29
4
manwizoooooooo
manwizooooo :
mungu wa kwel ni Allah pekee
2026-09-05 08:41:14
0
66bonveture
MTOKA# :
huwez amini mwaposa alimtoa ndagu kakobe
2026-09-05 04:43:43
0
deborachambulila
deborachambulila :
Mungu awape macho ya rohoni watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-09-05 15:48:31
1
emanuelbatlimayo
EMANUEL Batlimayo :
dini ni siasa sikuizi jaman ata yesu alipingwa kpindi anaponya
2026-09-05 08:05:54
3
fadhilikalmera
fadhilikalmera :
na WA kwake utatolewa na nani au biashara kuzidiana
2026-09-05 04:45:36
3
herenpatrick
herenpatrick :
bado ujasema
2026-09-05 08:04:11
2
miyaga.sara
Miyaga Sara :
ubirini neno lamungu kwenye ibada Sasa mkikaa mnaubiri mtu nikazi ngumu Mungu tusaidie
2026-09-05 09:58:23
3
glorymunis1
glorymunis67 :
ni vyema mtu akisimama kwenye madhabahu ahubiri yaliyo mema Kwa waumini wake sio kila siku kumkosoa mtu mbona wanaoenda Kwa waganga na kufanya maagano ya kiganga hamsemi
2026-09-05 17:38:40
0
user1465541786139
Mbakizao :
sasa hapo siri 12 za uchawi wa mwamposa ziko wapi? na jina la mwamposa mbona halijatajwa?
2026-09-05 09:35:52
1
mjomba.nzala
MJOMBA NZALA :
ila watumishi wa MUNGU Kwanini hawafuati maandiko
2026-09-04 17:00:18
1
magombana
Salome🌹🌹🌹 :
kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
2026-09-05 14:47:42
0
dorcusjeremia0
🏠🏠home balance store :
tunataka hivyohivyo uchawi wek
2026-09-05 14:42:41
0
balakalukas
balakalukas :
mwamposa oye tuache naimani zetu
2026-09-05 18:25:39
0
e_mbuya261
Ultraversion261 :
ninachoka sana na awa watumishi,kakobe leo anamsema mwamposa wakati na yeye enzi zake walimsema mchawi madhabau yaki akiwa ayupo watu wanawekewa tv aruusiwi mtu zaid yake kuubiri madhabauni pake.kweli Mungu tusaidie sasaivi niwakati wako wakusema wengine.
2026-09-05 16:48:36
3
shedrack.salai
Shedrack Salai :
ebu. tuache na mwamposa. wetu
2026-09-05 17:28:14
2
user6981481484201
jeremiah :
amen baba
2026-09-05 15:25:28
0
zakayomwana
zakayomwana48 :
mbona arikimbia
2026-09-04 20:08:10
0
To see more videos from user @mjomba.nzala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About