@jvckieseven: Mwaka 2003 tasnia ya bongo music ilipata ongezeko la ladha ya bangra yenye mahadhi ya kihindi kutoka kwa msanii akili the brain, aina hii ya muziki ilitambulika kama BONGOBANGRA 🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 17:11:38 GMT
917
53
11
1

Music

Download

Comments

african.child64
African Child :
Sasa background music ya nini kwenye hii video? So annoying.
2026-09-04 19:21:46
1
user5080787486378
Mrs 🫶gasto🫶👩‍❤️‍💋‍👩 :
way back
2026-09-04 18:06:52
1
0784567792aa
wang'washu :
story ya stive 2k kuchomwa kisu ad tulio kua madogo tulielewa jinsi stor ilivo kua kubwa
2026-09-04 17:57:02
0
user5080787486378
Mrs 🫶gasto🫶👩‍❤️‍💋‍👩 :
ni 🔥
2026-09-04 18:06:45
0
african.child64
African Child :
Ray C kabla hajajichubua😂
2026-09-04 19:22:33
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About