@23_sports.tz: "Chuma Cha Mjerumani Kimoja Tanzania Nasema Kibarua Cha Msemaji Lunyasi Kiko Hatarini Kwasasa "Chuma cha mjerumani🤔. NB : Hii kesi ya Chama kusema kwamba alilazimishwa kujiunga Yanga ishakua balaaa😀. #23sportstz #SportsNews #sportsupdate #updates #trending
Acha hizo kwahiyo mchezaji akiongea kuhusu yanga sio professional ila akiongea kuhusu simba ni professional,
2026-09-04 18:45:03
26
Jaliwa Sanga :
chama amefeli jioni sana. Tena amefeli sana
2026-09-04 18:53:55
41
manick :
Tumekuchoka
2026-09-04 19:59:10
8
kerewe boy :
@kerewe boy:kuna mda mjifunz kwa max nzegel kpnd anfnyiwa podcast interview..alikuw waz kuw yy ni mchezaj wa nchi so hakutk kuleta uyanga ndio maan hat hakuikebeh simba siku imefungwa tano ila alitumia code..vt vngn unfcha ssb kesho yako huijh
2026-09-04 18:31:56
19
voisaclassic92 :
sasa si ndo ukweli huo chama alikuja kwa ajili ya simba
2026-09-04 20:00:31
12
Danny Blaze💥 :
hapo kaambiwa aseme hv hili waitoe yanga kwenye reli kesho ifungwe
2026-09-04 19:17:45
7
alhabiib3 :
Very good brother
2026-09-04 20:42:32
0
gb :
Mbinu tu mmeshajua Chama ni:
1.Talent prayer
2.Expireience prayer
3.Known prayer
Upande wa pili tengenezeni watu kama hao😁
2026-09-04 19:28:08
8
hadija :
nikweli baba mpe huyo
2026-09-04 18:45:49
13
lizy Jojo :
yani hapo kaonesha kwamb ni jins gani wanafundishwa kuichukia yanga
2026-09-04 19:04:36
16
Joshua mathias :
wambie
2026-09-04 19:34:05
1
James Mawe :
chima nakukubali sana mwanagu
2026-09-04 19:04:44
5
Salumu Ndeka :
nguvu moja ww tunakujua mtu wa yanga bwana
2026-09-04 19:42:07
5
lucy :
chama mweu
2026-09-04 19:49:52
1
smart boy :
tutamwambia shabala aseme na yeye
2026-09-04 20:21:10
1
Jaliwa Sanga :
umeongea kikubwa sana mzee simba ni timu ya watoto,
2026-09-04 18:55:33
9
Fred F. F. f :
Shida nini kwani
2026-09-04 18:37:33
6
Doctor_Dee..19 :
umeanza lini kuwa shabiki yakee
2026-09-04 20:11:31
1
Mzee kijana8 :
kingine nilichokion wanafanya km kuzima utambulisho wa jezi zetu lkn nawaambia hakuna wa kuuzima huo utambulisho
2026-09-04 20:19:25
4
Fatuma Kipanga poli :
kweli aisee
2026-09-04 19:05:02
3
barida042 :
Nikajua CDE KAZUNGU wa CCM
2026-09-04 19:59:39
2
To see more videos from user @23_sports.tz, please go to the Tikwm
homepage.