@islamicswahilinet: WANAWAKE AINA 6 AMBAO WANAUME HUSHINDWA KUWAPENDA NA SABABU NI HIZI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 17:20:14 GMT
222865
16842
184
1892

Music

Download

Comments

gift_99971
gift_999 :
mbona nimejikagua kote uko sipo ila sipendwi😅😅
2026-09-05 05:43:04
39
_pk178
_pk :
kama mzazi wangu haeshimiwi na mume, cwezi mheshimu wake 📌
2026-09-06 12:32:09
12
rsm3286
rsm :
shekhe ufundishe na mada zingine za kielimu sio story zawanawake tu.
2026-09-04 21:15:38
19
dorothymhagama
Doroth mhagama :
ata wanaume wa hivyo wapo 😂😂😂
2026-09-05 09:57:28
35
rubys.dlight
Ruby's dlight :
cna vyote na niliachwa hvyo hvyo[Teary eyed]
2026-11-03 18:41:24
1
user987194174903318
mamahaika2 :
VIPI MADA HII TUKAIFANYA KWA PANDE ZOTE MBILI?
2026-09-05 08:23:53
16
0993949193philemon
paluku Daniel héritier :
hayo kweli
2026-09-05 20:48:27
7
emmy.tarimo34
Emmy Tarimo :
yaan kote huko sipo jmn ila sipendwi😭😭😭
2026-09-06 13:52:39
4
saqnahabdallah
@saqnah abdallah sureshi🥰🥰🥰 :
Lakin ikumbukwe usafi hata wanaume shekhe so mnaanqalia upande mmoja to twende haki bili haki soye binaadamu jaman😔😔😔😔😔😔
2026-09-05 15:37:37
5
user4826819156186
Daud Kavanga :
kweli sheikh
2026-09-04 20:11:42
7
murrad.breik
murrad breik :
subhana Allah
2026-09-05 19:32:02
5
arabi.ngonyan
Arabi Ngonyan :
Huyo wa kwanza saxa.. siongez neno
2026-09-05 06:46:33
15
wardasalim630
DA warda :
niambie dawa ya kutotoa halufu mbaya kinywani bwana angu ananuna mdomoni lakini nampenda san nipe dawa nifanye nn ss asinuke
2026-09-05 12:57:57
7
zaitunimohamed796
Zaituni Mohamed :
Mimi mwenyewe simpend mwanaume anae toa harufu
2026-09-07 08:30:56
4
mansem05
sem-05 :
Wakwanza na watatuu hapanaa...
2026-09-05 08:40:04
4
bubakar8230
abubakaramuri :
next
2026-09-05 08:27:16
4
wakhidaty
Mamz 💪❤️❤️ :
Nasisi tuseme tusio yapenda shekhe au tukae kimya😏
2026-09-07 01:05:57
2
hassanjuma9241
Hassan jr :
kwenye 🏧 hapa ,Mimi mwanamke nakutumbua mapema sana😂😅
2026-09-07 20:36:01
1
adelove583
adelove583 :
wanaume wa hvyo ndo wako weng
2026-09-05 11:04:52
6
kareemrashid292
mohamed RK>👑 :
saf
2026-09-05 07:53:38
2
masoodselemani
Masoodselemani :
hahahahaha nimependa shekhe
2026-09-05 21:02:10
2
user2280783940351
ibrahim sonora og :
nikwelewa vilivyo shekhe
2026-09-07 12:49:33
1
user5145449736665
sangar seleman :
Good asantee sheheeee🥰
2026-09-05 14:05:51
2
kingmancha
kingmancha :
fact
2026-09-05 07:08:30
1
user1515071468422
ADAM EDDO :
kwel sheikh
2026-09-04 21:46:23
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About