@mwenyekiticomedian: Usikute ule ushamba ni fursa tumekaa kizembe 😂😂😂 wakati @james konki kajiongeza utazani sio msukuma wa ndani ndani kawa Agent. Kwa Mahitaji ya Ticket kutokea Mwanza kwenda mikoa yote muone @officialjameskonki upate punguzo la bei na uhakika wa safari yako. 0782647681 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #mwenyekiti #tanzaniatiktok #mwanza #daressalaam #kenyantiktok🇰🇪

MWENYEKITI
MWENYEKITI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 17:25:25 GMT
35438
3938
166
120

Music

Download

Comments

ngarlyly.mahuli
Ngarlyly Mahuli :
me msukuma lakn nimecheka🤣🤣
2026-09-04 19:04:07
19
buzuri21
E L L Y 🧑‍💻🧑‍💻 :
Mimi msukuma naomba mniruhusu niseme neno niongee kwa kukaa au kwa kusimama?😳😂
2026-09-07 11:24:58
6
samsonmasalu501
sam cm :
sisi wasukuma kila mtu mtani wetu kwa nini
2026-09-05 06:50:59
9
grace.charles051
Grace Charles :
jaman mm nimsukuma ila wewe baba hapana umetusema sana
2026-09-05 08:28:58
5
bintiwakizinza
bintiwakizinza :
wasukuma oyeeeee 🤣🤣🤣
2026-09-04 18:31:04
3
user2161166832976
user2161166832976 :
hahahaha kumbe ulikuwa unatangaza mkata tket sisi ndo wasukuma bhana wasukuma taifa kubwa kila mtu anatuongelea
2026-09-04 20:22:26
3
kelvinmasumbuko61
king k45 :
mbona mnawivu na sis jaman
2026-09-05 09:26:53
4
displaygasper
Display Gasper :
kiukweli wasukuma sio wachoyo aisee Mungu awalinde sana
2026-09-05 03:55:53
7
user1247920266155
zamda :
dah umeknikumbusha michembe😂😂😂😂
2026-09-11 15:11:10
1
stevetech89
SteveTech :
Hakika
2026-09-04 18:28:48
2
bandose.61
Genes&Alele :
wasukuma tujuane jamani TUNASEMWA SENA ila mseme na mazuri yetu.
2026-09-05 05:27:10
2
mairah.cute
mairah cute 🥰🥰 :
wasukuma tujuane🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 20:07:00
2
simon.bran5
Simon bran :
daah michembe
2026-09-05 06:11:48
1
dedonald6
Donald Jr :
sana mwenyekiti
2026-09-04 18:26:28
2
jones.jacob4
Jones Jacob :
sana yaani nihivi
2026-09-04 18:30:58
2
edinamlelwa53
mtoto mzuri wa njombe 💋 :
na kweli hawajaliogwa na sio shida zao😁😁😁😁
2026-09-04 22:14:13
2
user1636845183448gwalu
Gwalugwa :
kweri babu🤣🤣🤣🤣😂
2026-09-04 19:43:15
1
didado437
user5324529169005 :
sawasawa mwenyekti ha ha ha ni hatar.
2026-09-04 18:52:53
1
mis.fet
Mis fet :
😮‍💨 kumbe ni tangazo
2026-09-13 08:57:26
0
user3303675823388
aneth :
jamani jamani daaa Aya kipenzi
2026-09-14 17:09:36
0
user21333116285446
Ivanny :
mhola San ngosha
2026-09-14 07:46:22
0
luqmanismail229
coolman :
unajua
2026-09-08 10:17:27
1
nyandampina
Nyanda mpina :
babu tuliza wenge
2026-09-13 12:07:36
0
musalutumo2
Moses💞💞 :
🤣🤣🤣hatar sanaaa
2026-09-04 18:38:45
1
To see more videos from user @mwenyekiticomedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About