@habakkukjoran: Shida zote zilianzia hapa, sikiliza kwa makini #viral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #siasa #jifunzesheria

Habakkuk
Habakkuk
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 17:57:08 GMT
62899
2291
97
230

Music

Download

Comments

urocke23
urocke23 :
Nashangaa Kwanini hajahukumiwa ??
2026-09-04 19:08:49
13
issajumamvugusi
Issa Juma Mvugusi :
elewa maneno HIYO NDIO NAMNA YAKUPATA MABADILIKO exactly
2026-09-12 15:36:05
5
directormjagongo
DIRECTOR MJA GONGO :
he was read for anything!! alijua ataumia but aliamua kusimama katika kuipigania haki
2026-09-05 07:14:00
13
jamesambakisye6
jamesambakisye6 :
mi nilitegemea kwakuA anataka kua kama Mandela angekubali mahakamani kwamba nikweli alisema sasa mahakamani anakana na anasema hajui hiyo si dalili ya uoga? na anaogopa nini? kifo au? ila binadamu bwana hatari sana
2026-09-20 17:46:06
6
user7413416597871
HajatFatma2026 :
Walifanya yote hayo wakijua watu watakufa lakini sasa hivi wanamlaumu Rais na kumtangaza kuwa yeye ni muuaji. Kweli siasa ni mchezo mchafu. Mmeucheza sasa hivi unawacheza kubalini matokeo
2026-09-30 14:58:28
1
tam26665
TAM :
uasi na uhaini vinaendanaje?
2026-09-30 17:44:44
0
khalifachuma
Khalifa Chuma :
THE AFRICAN LION 🦁👑
2026-09-05 05:13:10
7
makoye2753
Makoye :
Puppet leaders yupo kazini
2026-09-16 19:09:54
7
moses.rudisha0
Moses Rudisha :
Hadi hapo serikali ilikuwa Ina msumbua KATUGU tu, kenyewe kazima Leo ndugu zetu wameenda🤦🤦💔
2026-09-30 21:00:14
1
kaz68156
KAZ :
Hakuna uasi wa kutamka maneno
2026-09-17 13:38:55
2
user8256156581434
Bushile investment :
Elewa siasa za ukombozi ndiyo hizi sasa
2026-09-13 17:15:21
6
farajiabdallah390
mnalihongela :
part two
2026-09-13 18:58:09
2
aston.michael1
Aston Michael :
mungu atakushindia Mzee wetu tunakuombea
2026-09-12 13:22:36
5
luchenja8
Luche :
police hata hamukuhangaika kabisa mukaamua kumpa kesi ya uhaini kisa amesema atakuhukumiwa kwa uhaini
2026-09-28 16:16:02
0
9102lostboy
lostboy gs :
iman kubwa sana
2026-09-12 20:10:38
3
harbat.harbat
Harbat Harbat :
baaaaas😁kuna nini tena🤪
2026-09-11 20:35:15
2
veranmkude
veranMkude :
utartibu wote alikua nao 💪🏽
2026-09-11 18:56:47
1
papi_brizzy28
Brizzy_Daddy👑 :
KILAKITU ALITABIRI UKWELI NA IKATOKEA SIKILIZA VIZURI MPAKA MWISHO😭😭
2026-09-13 06:53:48
2
reymotoz
reymotoz :
mhh kumbeeè
2026-09-17 03:45:12
1
ivangasper77
Ivan :
kumbe jamaa alijua kabisa kuwa watampa kesi ya treason
2026-09-19 12:41:08
1
user59480082235985
user59480082235985 :
asiachwe
2026-09-05 13:47:51
1
kagulumi
HG-9ALR :
Katiba iliyopo ina mapungufu yapi na mazuri yapi? Na katiba inayotakiwa itakua na ubkra upi? Ikiwa mapungufu ya katiba iliyopo yakaondorewa kwa kufanya marekebisho itafaa? Je, kwa mazingira na historia ya Taifa letu na maadili asili yetu; katiba pekee yaweza leta suluhu ya matatizo yote au kupunguza kwa asilimia 70%? Kama si hakika, katiba mpya yafaa kuja na jambo gani ili tuwe na hakika ya 70%+ kwamba usalama na matatizo yatapungua kwa asilimia kubwa zaidi? Na kama ni hakika, mikakati ni ipi inayoonyesha kwamba matatizo yatadhibitiwa kwa 70%+? Vijana na watu wazima ambao ni walengwa na washauri wajenzi wa taifa bora Tanzania, wanaijua vizuri katiba iliyopo kiasi cha kuona mpungufu na ubora wake? Nipe sababu kwa jibu utakalotoa na umuhimu wa jibu hilo. Ni baadhi ya maswali nahitaji majibu na ufafanuzi, Tanzania ni nchi yangu na naipenda pia. Alie nielewa anijibu.
2026-09-18 10:48:38
1
godwin6272
Godwinkainamula :
sio kusema tu ni kosa,ata ukiwaza tu nikosa kubwa Lazima ushtakiwe. eti siasa za udalali🤣😂🤣
2026-09-13 06:40:12
1
yusto36
tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 :
mm siyoni chaajabu hapo hakuna kosa hapo wala ajavunja sheria yupo ndani ya sheria anaonewa tu
2026-10-09 11:26:05
0
waryoba.kibata
Waryoba Kibata :
huyuuu anajua anachokifanya
2026-09-23 12:07:05
0
To see more videos from user @habakkukjoran, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About