@gaspercomic: Sababu kubwa ya matatizo uliyo nayo ni wewe mwenyewe. Badilisha mtazamo, acha kulaumu wengine, chukua wajibu na anza kuchukua hatua. Maisha hubadilika pale unapobadilika wewe. Jiamini, jifunze kutokana na makosa na songa mbele. Mabadiliko yanaanza na wewe leo, si kesho. #Motivation #Maisha #Mindset #Mafanikio #Jitambue
daaaah this clip make me chopping an onion 🥺
yooh this is true fact
2026-09-06 08:12:13
1
Amani :
au siyo mwanetu tulia ivyoooo ivyooo ni swala la muda en the time will tell be patient 😅😅
2026-09-05 05:22:00
2
PΞΔCΞ WΛLΚΞR :
fact bro 👀🤔🙄
2026-09-05 15:05:48
1
JOHANNES :
Respect 🙏
2026-09-05 03:23:46
0
bonymbilinyi :
na huo ndo ukwel ambao wachungaj au viongozi wengi wa dini wanatuficha
2026-09-05 05:25:25
16
Soso :
comfort zones zimeua ndoto za vijana wengi sana
2026-09-05 12:52:31
2
rissu99 :
point 💪
2026-09-04 18:20:36
10
The best :
nyie macontent creator mnajisahau sanaa
2026-09-06 08:18:27
0
Massano Ssano :
fact, ebu waambie wafia din waweke vitabu vyao pembeni afu tutumie akili t kwa kujiulz utajua anach ongea AP n fact
2026-09-04 19:38:13
12
alvin deus :
nyimbo ya samboire kaimba nani vile
2026-09-04 22:10:30
0
ČĤÄØ🚛 :
Kama utani ila ni ukweli....😊😊😊
2026-09-05 16:12:58
3
Maguire234 :
We jamaa unaongea fact sana mwanangu
2026-09-05 15:14:10
1
MAGUZU MARDADI :
ukweli ambao kuukubali yataka roho ngum
2026-09-05 16:16:25
1
GODFREY :
kaka leo umesababisha hadi nikufollow🔥🔥🔥
2026-09-05 15:39:34
2
Alchemist :
tuko kwenye age of aquarius ..hii ni era ambayo kila kitu kinakuja kwenye surface na watu tunaanza kuona kwanini tumekuwa kwenye umaskini mwingi
2026-09-05 08:00:53
3
Profesa Jerryfive Tz :
upo sahihi
Vijana Lets WakeUp
2026-09-04 19:59:24
2
vot_sack22 :
uhakika😏
2026-09-04 19:19:32
2
hidden dar :
kweli kabisa,...
2026-09-04 18:10:56
3
DeE Pablo :
Hakika kaka
2026-09-05 09:02:18
2
Babuu Rangi :
Dunia nzima ikusikie
2026-09-04 19:52:43
1
james :
khaa hii ni mbaya
2026-09-05 20:11:49
1
innocent Kessy :
yawezekana hata shetani mzungu ali maanisha n sisi wa afrca na atujui
2026-09-05 23:32:29
0
Abraham mirajy :
umesema fact kaka ,,,,lkn jaribu kutazama ie kwenye Uisilam kila tatizo ulilotaja limekatazwa kabla na kuonesha madhara ikishafanya hivyo ,,dini sio shida ni akili yetu ilivyo
2026-09-06 12:35:43
0
dav boy :
Good
2026-09-06 00:19:06
0
To see more videos from user @gaspercomic, please go to the Tikwm
homepage.